Je dhamana amepata. Na kwanini sirikali inaharibu Taifa. Unataka watu na vijana wakue katika unafiki, na rushwa. Tutakuwa na Taifa Gani hapo baadae, wakati misingi ya Maisha inaharibiwa na uongozi na rushwa usio Jenga nchi Bali kujenga himaya ya waovu.Kumbe Bonny ni mtu poa tu, hana chochote cha hatari alichonacho nyumbani kwake zaidi ya king'amuzi cha DSTV na simu ya Tochi ya Tecno pamoja na jiko la gesi moja
View attachment 3099999
Maana watoto wengi WA viongozi Kwa kuelewa kwenye uovu wengi wao wanaishia kuwa waovu, watoto wa maskini kutokana na umaskini wao au kukosa fursa, wanaishia kutafuta kwa uovu, wachache ambao, wanatafuta kwa njia halali, wanabanwa au kuharibiwa na utawala wa uovu.
Matokeo yake nchi itatawaliwa na wageni Kwani watakao kuwa na nguvu ya kiuchumi na kiutendaji ni hao watu wa nje wenye kutumia ajili zao vizuri, kiuchumi na kiutendaji