Baada ya Upekuzi nyumbani kwa Boniface Jackob Polisi waondoka mikono mitupu hakuna hatari yoyote

Baada ya Upekuzi nyumbani kwa Boniface Jackob Polisi waondoka mikono mitupu hakuna hatari yoyote

Kumbe Bonny ni mtu poa tu, hana chochote cha hatari alichonacho nyumbani kwake zaidi ya king'amuzi cha DSTV na simu ya Tochi ya Tecno pamoja na jiko la gesi moja

View attachment 3099999
Je dhamana amepata. Na kwanini sirikali inaharibu Taifa. Unataka watu na vijana wakue katika unafiki, na rushwa. Tutakuwa na Taifa Gani hapo baadae, wakati misingi ya Maisha inaharibiwa na uongozi na rushwa usio Jenga nchi Bali kujenga himaya ya waovu.
Maana watoto wengi WA viongozi Kwa kuelewa kwenye uovu wengi wao wanaishia kuwa waovu, watoto wa maskini kutokana na umaskini wao au kukosa fursa, wanaishia kutafuta kwa uovu, wachache ambao, wanatafuta kwa njia halali, wanabanwa au kuharibiwa na utawala wa uovu.
Matokeo yake nchi itatawaliwa na wageni Kwani watakao kuwa na nguvu ya kiuchumi na kiutendaji ni hao watu wa nje wenye kutumia ajili zao vizuri, kiuchumi na kiutendaji
 
Boniface Jacob akiwa katika gari la Polisi akiondoka mitaa ya Msakuzi jijini Dar es Salaam kurudi kituo cha Polisi akiwa chini ya uangalizi wa askari Polisi

View: https://m.youtube.com/watch?v=AvwJsUc_wEc

Kwa kweli Polisi wangekuwa wanatumia taratibu za kupeleka ujumbe Kwa Mtu , kwenda polisi , ikiwa tukio sio la dharura. MTU akishindwa kuitukia wito ndio polisi wamfuate.
 
Watambambikia bonge la Jinai.......najua tu kumkomoaass
 
Akili za polisi wa Tanzania huwa za hovyo sn, unamtuhumu mtu kuandika andiko la uongo kwenye twitter halafu unaenda kufanya upekuzi nyumbani kwake, kwamba server ya twitter ipo nyumbani kwake?
 
Siku hizi ukivamiwa na majambazi wapigie simu polisi then waambie Boni Yai na Martni MM wanafanya vikao jirani na nyumba yako watakuja fasta
 
Walinzi wa benki, raia pamoja na Mali zao muogopeni muchungaji feki Kama Vita ya Gaza.
 
Back
Top Bottom