Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.

Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
 
What's the difference?
 

I think you are making unnecessary circle path, while the shortcut is there for you! It doesnt make any difference!
 
Watu wana makasiriko tu mkuu, na hii formula haijabadilika ndivyo waliwaambia toka mwanzo hivyo kukubali kwao ni kukubaliana na alichowambia toka mwanzo.
Kufungua account in USD or Euros then convert them in ruble which will be credited to their ruble acc ndo manunuzi yafanyike 😀😀
Jamaa anajitengenezea demand ya ruble. Hao ndo wanauchumi walikuja na soln.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…