Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Austria explains stance on Russian gas ban​

Vienna says it has “no choice” but to continue imports from Moscow

A pipeline valve model at a gas expo in Moscow, Russia, 2021. © Sefa Karacan / Anadolu Agency / Getty Images
Austria cannot afford to ban imports of Russian gas as part of sanctions on Moscow, its Finance Minister Magnus Brunner has said. Many Western states, including members of the EU, have imposed sweeping economic restrictions on Russia in response to its military campaign in Ukraine.
Mjomba anaingiza $900mil/day kutoka kwa mabeberu kutokana na gas yake.
Halafu wanajikuta WANALAZIMIKA kumpa hizo hela japo hawapendi ila hawana jinsi. Mali asili inalipa sana!! Sisi Tanzania tumewaacha mabeberu gesi yetu na tunaambulia kakodi tu, na kenyewe mpaka taxi holiday iishe yaani warudishe gharama ya utafiti na uwekezaji!!
 
Chief, hii habari imeletwa na mtu mwenye mihemko.
Ukiifuatilia habari nzima "achana na hii iliyodokoa kakipande kanakompa furaha na kukaleta hapa kuna kipangele kinasema"
without Violating sanctions means paying for Russian gas with rubbles so to avoid violating their sanctions, they pay Russian Bank in Euro and Dollars. Converting the payment into rubbles is Russia's business, not EU business".

Ukweli ni kwamba msimamo wa Ulaya uko pale pale kuwa watatumia pesa yao kununua Gasi ulaya.
 
Sasa rate hiyo anaipanga nani unaweza ukalipa kwa dollar ila katika kuconvert ndipo Russia anapokupiga let say zamani kabla ya vikwazo labda ilikuwa 1usd sawa 130ruble now Mrusi anaamua kusema 1 USD sawa 60ruble,lazima utakubaliana nae na mafuta & gesi yake unayaitaka huoni mpaka hapo Ruble inazidi kuimarika.

Na ndivyo nilivyo elewa mimi hii threads,bado maumivu yapo palepale.
 
Wameambiwa ni lazima wafungue account ya hela ya mrusi nchini urusi hapo hapo
 

Iki unachokisema ni mada nyingine si hii iliyoletwa na huyo Dogo debe tupu.
Anzisha mada ya nani ana gain na nani anapoteza uko unaweza kuwa na hoja ila hii ya kuwa ulaya imekubali kununua Gasi kwa Rubo. Hii habari ni uwongo tupu.
Then ngoja nishushe Kago kwanza, fuso limeingia muda mrefu na majunia Shazi wenzangu wanapiga kazi alafu mimi napiga porojo Jf.😊
 
Sarafu ya Ruble ataanza tena kushuka thamani dhidi ya sarafu zingine zenye nguvu kuanzia mwezi wa tano pale uuzaji wa bidhaa nje utakapoanza kupungua kutokana na vikwazo hali ambayo itakuwa mbaya zaidi miezi minne baadaye.
 
Uwongo nini labda kama umekimbia hesabu, ila kama unaknowledge ya hesabu utaielewa hii thread maumivu yapo palepale.
 
Sarafu ya Ruble ataanza tena kushuka thamani dhidi ya sarafu zingine zenye nguvu kuanzia mwezi wa tano pale uuzaji wa bidhaa nje utakapoanza kupungua kutokana na vikwazo hali ambayo itakuwa mbaya zaidi miezi minne baadaye.
Sawa
 

EU issues guidelines for gas payments in rubles​

Companies could pay in euros or dollars through a Gazprombank account, Brussels says

© Global Look Press / Nikolay Gyngazov
EU companies may be able to work around Russia’s demand to receive gas payments in rubles without breaching sanctions, if they pay in euros or dollars which are then converted into the Russian currency, the European Commission (EC) said on Friday, according to Reuters.
In an advisory document sent to member states on Thursday, the Commission reportedly said that Moscow's gas-for-rubles proposal does not necessarily prevent a payment process that would comply with EU sanctions against Russia.

Hii imedhihirisha wazi kati ya Urusi na Nchi za magharibi ni yupi ameshika kisu kwenye makali au yupi ameshika kwenye mpini. Ni kama kugombana na Tanesco, wanakupa notisi ya kulipa vinginevyo watang'oa nguzo yao na kupelekwa kwa wateja wengine!! Hapo huna jinsi zaidi ya kuingia mfukoni na kulipa chao!! Vinginevyo giza linakuhusu!! Na kutumia jenereta ni gharama zaidi!!
 

Austria explains why it can't ban Russian gas​

Vienna says it has “no choice” but to continue imports from Moscow

A pipeline valve model at a gas expo in Moscow, Russia, 2021. © Sefa Karacan / Anadolu Agency / Getty Images
Austria cannot afford to ban imports of Russian gas as part of sanctions on Moscow, its Finance Minister Magnus Brunner has said.
 
Huwezi kuamini kuwa eti kwa sasa Marekani ANAZISHAURI nchi za ulaya zisiachane na gesi ya Urusi. Ukiona hivyo ujue kimeumana na hakuna jinsi nyingine!! They said: Lets see who will blink first! Its now clear the west has blinked firest!!

US warns against Russian energy ban​

An EU embargo on oil and gas imports could harm the global economy, the treasury secretary says

© Getty Images / Vladimirovic
US Treasury Secretary Janet Yellen said on Thursday that a complete European ban on Russian oil and gas imports would “clearly” raise global oil prices and may inflict harm on Europe and other parts of the world.
Speaking to reporters following a meeting with Ukrainian Prime Minister Denys Shmyhal and Finance Minister Sergiy Marchenko in Washington, Yellen said that such a ban could ultimately cause more harm than good.
“It could actually have very little negative impact on Russia, because although Russia might export less, the price it gets for its exports would go up,” she said, as quoted by AFP.
 
Shida sio kupatikana....gesi ipo nyingi.....ishu ni kupata gesi kwa gharama ileile ambayo wanaipata toka kwa mrusi hapo ndo shida ilipo....huku kwingine kote wakitaka gesi lazima gharama za kuifikisha huko ulaya zitakua kubwa ambazo zitalazimu na gharama za maisha yao kupanda na hata gharama za kuoperate viwanda vyao zitaongezeka, ndio maana inakua ngumu kumkwepa mrusi maana gesi yake ndo ya gharama nafuu zaidi kuliko hizo sehemu ulizosema.....
 
Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
 
🤣🤣😂😂👍💪
 
Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Wanaopata shida wenyewe wamejua wanachochezea ndo maana wameamua kua wapole kwa sasa,, mwananchi wa kawaida yeye anachojua tu ni ugumu wa maisha na huko kwa hao jamaa sio kama huku mambo yaende ovyo halafu wananchi wakuache tu,...........viongozi nao wanalinda legacy zao kwa sasa wamejua kabisa walikurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…