Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

Hukupaswa kuaminiwa hata kidogo na hiyo company. Yaani hili jambo doooooogo tu nalo ukaangaika kufanya utafiti wakati liko wazi!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Mkuu nlitaka kujionea mwenyewe
 
Mwanamke wako akitanguliza pesa kwenye mahusiano ujue ni mwanamke cheap, cuz kila mwenye pesa anaweza kumgonga.

Mwanamke kutanguliza pesa kwenye mahusiano kuna mambo mawili,either ni malaya au kakuona sio valuable enough hivyo anataka ku compensate
 
Upo sahihi kabisa
 
Nikifikiria haya hata hamu ya kuoa inanikata, ila najiuliza wazee wetu na mababu zetu waliwezaje kuishi na wake zao mpaka sisi wajukuu tunawakuta bado wakiwa pamoja? Sometimes I feel kile being under the same roof with a woman I love the most ila dah
 
Kuna mmoja ana nambia niwe najiongeza kumtumia pesa na mimi nika muuliza kama huwa ana jiongeza kunipa mzigo au hadi niuombe

Ubao una soma 1-1 ila nime kimbia match hili ni vimpire liki zoea litani maliza damu
 
Unaendelea na harakati za kupata pesa au bado unamalizia tafiti?


Kuna jamaa mmoja alikuwa na utaratibu wa kutafiti wanawake, mwishowe binti mmoja waliyekuwa wote kwenye group moja la whatsapp akaishia naye kufanyiwa utafiti hadi wakaoana. wakaendelea kutafitiana hadi wakaachana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…