Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hablas espańol?Napenda vingereza vyako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hablas espańol?Napenda vingereza vyako
Ni kuviziana tuu, ila mara nyingi kwenye haya mambo sisi ndo tunaondoka na ushindi, nyie mwishoni mtaanza kusema moja ya haya yafuatayo 👇🏻Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Wewe kupanga namba tu, kupigwa vizinga aaah.!!
Baada ya kunitumia vya kutosha ndo umegundua hatuendani?
Kama ulijua huna future na mimi kwanini umenipotezea muda wangu
Sahivi nikipata mwanaume no sex mpaka ndoa Wanaume wote ni mbwa
Malipo ni hapa hapa duniani
Mkuu nimekubali kuyaishi mabadiliko ya dunia ya sasa coz nimegundua kwa sasa siwezi kubadilisha kituUnaendelea na harakati za kupata pesa au bado unamalizia tafiti?
Kuna jamaa mmoja alikuwa na utaratibu wa kutafiti wanawake, mwishowe binti mmoja waliyekuwa wote kwenye group moja la whatsapp akaishia naye kufanyiwa utafiti hadi wakaoana. wakaendelea kutafitiana hadi wakaachana.
Huyo mpotezeee ale jeuri yakeKuna mmoja ana nambia niwe najiongeza kumtumia pesa na mimi nika muuliza kama huwa ana jiongeza kunipa mzigo au hadi niuombe
Ubao una soma 1-1 ila nime kimbia match hili ni vimpire liki zoea litani maliza damu
Iko hivyo mkuu,ndio maana ukiwa vizuri kifedha ni ngumu kumjua anayechukia jinsi ilivyo kila mtu anakuwa rafiki Yako!Tunza fedha ikusaidie baadae.Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya covid iliyochangia kwa kiasi kikubwa uchumi kuyumba.
Mimi kwa kipindi kile nlikua na wanawake kama wa nne hivi, kati yao wawili ndo nlikua nawaelewa sana hawa wengine ilikua ni vipoozeo tuu, Sasa baada ya kuona kampuni nyingi zinapunguza wafanyakazi wake, nkapata wazo la kuwapima hawa wanawake kwa kuwatenga kwa makundi mawili,
Kundi la kwanza
Wale wanawake wawili nliokua nawakubali sana na wananipa ushirikiano
Kundi la pili
Wale wawili wa kuzuga nao tuu nakula mzigo mara moja moja sana na pia wao hawako active sana na mimi
Nlichokifanya Ilikua hivi, Hili kundi la kwanza ambao ndo nliamini future yangu iko katika mmoja wao hao wawili, Nkawadanganya kwa kuwaambia wote kuwa kuwa kutokana na changamoto ya covid, Ofsini kwetu wameamua kupunguza wafanyakazi, bahati mbaya na mimi ni mmoja wa wafanya kazi nliopewa barua ya kuto endelea kufanya kazi pindi mkataba wangu utakapoisha, hapo ilikua mwezi November mwishoni na kwenye mkataba ilibaki mwezi wa December peke yake
Kundi la pili nkawadanganya kinyume chake, Kuwa kutokana na performance yangu kuwa nzuri kazini Boss wangu ameniamini sana na ameniahidi pindi ntakapo renew mkataba mpya mwezi January mwaka unaofuata ntaongezewa sallary na bonus nyingine
Makundi yote haya mawili nliwapa ujumbe kwa njia ya sms nliwatumia WhatsApp
Kumbuka hapa nlikua nawazingua tuu ili nione response zao, Majibu yakawa kama ifuatavyo 👇🏻
Kundi la kwanza
Baada ya kutuma sms, mmoja alinipigia kwa mshangao sana, Nkajifanya kama nimechanganyikiwa hivi, mwingine hata simu hakupiga zaidi ya kuniuliza nna plan gani baada ya mkataba kumalizika,mimi nlionyesha hali ya kuchanganyikiwa so nikawa kama mtu ambae amepata msongo wa mawazo na anahitaji mtu wa kumpa faraja, Ila kwa kifupi baada ya siku kama mbili, Mawasiliano yalianza kupungua kwa kasi ya 5G kwa wote wawili,
Kundi la pili
Hawa baada ya kuwapa hizi habari njema za kuongezewa sallary na bonus , kwanza ni kama nlikua nimewavuta karibu zaidi coz, kila mmoja kwa wakati wake alikua anaongeza ukaribu na mimi na mawasiliano yakaongezeka maradufu
Baada ya utafiti huu mdogo nkapata jibu kuwa kwa mwanaume financial freedom ndo itakuweka salama kwenye maisha ya mahusiano bila ya hivyo utaishi kwa pressure sana
No need to give up Man, tukubali kuendana na dunia ya sasa no way...Mimi pamoja na hizi changamoto zote niko kwenye strong r/ship na very soon ntaoa Mungu anisaidie 🙏🏻Nikifikiria haya hata hamu ya kuoa inanikata, ila najiuliza wazee wetu na mababu zetu waliwezaje kuishi na wake zao mpaka sisi wajukuu tunawakuta bado wakiwa pamoja? Sometimes I feel kile being under the same roof with a woman I love the most ila dah
Hakuna maono wala nini kipaumbele chenu ni pesa. Mpo tayari wanawake wengi kumganda badboy mmoja mwenye pesa na mkamtosa nice guy aliefuliaWanawake tuna maono ya kujua nadate na mtu wa aina gani hivyo natakiwa kuchukua changu mapema sababu hapa hamna ndoa
Uwongoooo....mbona mnalianlia kugegegdwa na kuachwaWanawake tuna maono ya kujua nadate na mtu wa aina gani hivyo natakiwa kuchukua changu mapema sababu hapa hamna ndoa
Hongera kwa kupata mke mwemaImani zenu ni potofu....
Mimi mke wangu mwaka wa 18 huu tunashirikiana fresh nilikwambia amabeba jukumu la kutunza familia.
So sio wote pesa mbele ni haohao wakwenu tu
asingekuja humu coz asingeona ni pesa nyingHata angekuwa na demu mmoja, bado tu angedai pesa
Utafiti wako sio mbaya ila ingependeza zaidi kama katika kila kundi ungechukua mmoja na kuwatumia meseji mojaMiaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya covid iliyochangia kwa kiasi kikubwa uchumi kuyumba.
Mimi kwa kipindi kile nlikua na wanawake kama wa nne hivi, kati yao wawili ndo nlikua nawaelewa sana hawa wengine ilikua ni vipoozeo tuu, Sasa baada ya kuona kampuni nyingi zinapunguza wafanyakazi wake, nkapata wazo la kuwapima hawa wanawake kwa kuwatenga kwa makundi mawili,
Kundi la kwanza
Wale wanawake wawili nliokua nawakubali sana na wananipa ushirikiano
Kundi la pili
Wale wawili wa kuzuga nao tuu nakula mzigo mara moja moja sana na pia wao hawako active sana na mimi
Nlichokifanya Ilikua hivi, Hili kundi la kwanza ambao ndo nliamini future yangu iko katika mmoja wao hao wawili, Nkawadanganya kwa kuwaambia wote kuwa kuwa kutokana na changamoto ya covid, Ofsini kwetu wameamua kupunguza wafanyakazi, bahati mbaya na mimi ni mmoja wa wafanya kazi nliopewa barua ya kuto endelea kufanya kazi pindi mkataba wangu utakapoisha, hapo ilikua mwezi November mwishoni na kwenye mkataba ilibaki mwezi wa December peke yake
Kundi la pili nkawadanganya kinyume chake, Kuwa kutokana na performance yangu kuwa nzuri kazini Boss wangu ameniamini sana na ameniahidi pindi ntakapo renew mkataba mpya mwezi January mwaka unaofuata ntaongezewa sallary na bonus nyingine
Makundi yote haya mawili nliwapa ujumbe kwa njia ya sms nliwatumia WhatsApp
Kumbuka hapa nlikua nawazingua tuu ili nione response zao, Majibu yakawa kama ifuatavyo 👇🏻
Kundi la kwanza
Baada ya kutuma sms, mmoja alinipigia kwa mshangao sana, Nkajifanya kama nimechanganyikiwa hivi, mwingine hata simu hakupiga zaidi ya kuniuliza nna plan gani baada ya mkataba kumalizika,mimi nlionyesha hali ya kuchanganyikiwa so nikawa kama mtu ambae amepata msongo wa mawazo na anahitaji mtu wa kumpa faraja, Ila kwa kifupi baada ya siku kama mbili, Mawasiliano yalianza kupungua kwa kasi ya 5G kwa wote wawili,
Kundi la pili
Hawa baada ya kuwapa hizi habari njema za kuongezewa sallary na bonus , kwanza ni kama nlikua nimewavuta karibu zaidi coz, kila mmoja kwa wakati wake alikua anaongeza ukaribu na mimi na mawasiliano yakaongezeka maradufu
Baada ya utafiti huu mdogo nkapata jibu kuwa kwa mwanaume financial freedom ndo itakuweka salama kwenye maisha ya mahusiano bila ya hivyo utaishi kwa pressure sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mwanaume una wanawake 4 bado unataka wavumilie umasikini we kuweza???
Mwanaume malaya anapendewa pesa tu..!🥸[emoji1732]
hili mbona halihitaji utafitiMiaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya covid iliyochangia kwa kiasi kikubwa uchumi kuyumba.
Mimi kwa kipindi kile nlikua na wanawake kama wa nne hivi, kati yao wawili ndo nlikua nawaelewa sana hawa wengine ilikua ni vipoozeo tuu, Sasa baada ya kuona kampuni nyingi zinapunguza wafanyakazi wake, nkapata wazo la kuwapima hawa wanawake kwa kuwatenga kwa makundi mawili,
Kundi la kwanza
Wale wanawake wawili nliokua nawakubali sana na wananipa ushirikiano
Kundi la pili
Wale wawili wa kuzuga nao tuu nakula mzigo mara moja moja sana na pia wao hawako active sana na mimi
Nlichokifanya Ilikua hivi, Hili kundi la kwanza ambao ndo nliamini future yangu iko katika mmoja wao hao wawili, Nkawadanganya kwa kuwaambia wote kuwa kuwa kutokana na changamoto ya covid, Ofsini kwetu wameamua kupunguza wafanyakazi, bahati mbaya na mimi ni mmoja wa wafanya kazi nliopewa barua ya kuto endelea kufanya kazi pindi mkataba wangu utakapoisha, hapo ilikua mwezi November mwishoni na kwenye mkataba ilibaki mwezi wa December peke yake
Kundi la pili nkawadanganya kinyume chake, Kuwa kutokana na performance yangu kuwa nzuri kazini Boss wangu ameniamini sana na ameniahidi pindi ntakapo renew mkataba mpya mwezi January mwaka unaofuata ntaongezewa sallary na bonus nyingine
Makundi yote haya mawili nliwapa ujumbe kwa njia ya sms nliwatumia WhatsApp
Kumbuka hapa nlikua nawazingua tuu ili nione response zao, Majibu yakawa kama ifuatavyo 👇🏻
Kundi la kwanza
Baada ya kutuma sms, mmoja alinipigia kwa mshangao sana, Nkajifanya kama nimechanganyikiwa hivi, mwingine hata simu hakupiga zaidi ya kuniuliza nna plan gani baada ya mkataba kumalizika,mimi nlionyesha hali ya kuchanganyikiwa so nikawa kama mtu ambae amepata msongo wa mawazo na anahitaji mtu wa kumpa faraja, Ila kwa kifupi baada ya siku kama mbili, Mawasiliano yalianza kupungua kwa kasi ya 5G kwa wote wawili,
Kundi la pili
Hawa baada ya kuwapa hizi habari njema za kuongezewa sallary na bonus , kwanza ni kama nlikua nimewavuta karibu zaidi coz, kila mmoja kwa wakati wake alikua anaongeza ukaribu na mimi na mawasiliano yakaongezeka maradufu
Baada ya utafiti huu mdogo nkapata jibu kuwa kwa mwanaume financial freedom ndo itakuweka salama kwenye maisha ya mahusiano bila ya hivyo utaishi kwa pressure sana
Kweli kuna vijana wa hovyoSasa mwanaume una wanawake 4 bado unataka wavumilie umasikini we kuweza???
Mwanaume malaya anapendewa pesa tu..!🥸🤸
Si ndio hapo?hili mbona halihitaji utafiti
yaani unamuoa mtu aje aishi kwako, unataka asiangalie uwezo wako,aangalie nini sasa