Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Wewe kupanga namba tu, kupigwa vizinga aaah.!!
Ni kuviziana tuu, ila mara nyingi kwenye haya mambo sisi ndo tunaondoka na ushindi, nyie mwishoni mtaanza kusema moja ya haya yafuatayo 👇🏻

Baada ya kunitumia vya kutosha ndo umegundua hatuendani?
Kama ulijua huna future na mimi kwanini umenipotezea muda wangu
Sahivi nikipata mwanaume no sex mpaka ndoa Wanaume wote ni mbwa
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Mkuu nimekubali kuyaishi mabadiliko ya dunia ya sasa coz nimegundua kwa sasa siwezi kubadilisha kitu
 
Kuna mmoja ana nambia niwe najiongeza kumtumia pesa na mimi nika muuliza kama huwa ana jiongeza kunipa mzigo au hadi niuombe

Ubao una soma 1-1 ila nime kimbia match hili ni vimpire liki zoea litani maliza damu
Huyo mpotezeee ale jeuri yake
 
Iko hivyo mkuu,ndio maana ukiwa vizuri kifedha ni ngumu kumjua anayechukia jinsi ilivyo kila mtu anakuwa rafiki Yako!Tunza fedha ikusaidie baadae.
 
Nikifikiria haya hata hamu ya kuoa inanikata, ila najiuliza wazee wetu na mababu zetu waliwezaje kuishi na wake zao mpaka sisi wajukuu tunawakuta bado wakiwa pamoja? Sometimes I feel kile being under the same roof with a woman I love the most ila dah
No need to give up Man, tukubali kuendana na dunia ya sasa no way...Mimi pamoja na hizi changamoto zote niko kwenye strong r/ship na very soon ntaoa Mungu anisaidie 🙏🏻
 
Utafiti wako sio mbaya ila ingependeza zaidi kama katika kila kundi ungechukua mmoja na kuwatumia meseji moja
 
hili mbona halihitaji utafiti
yaani unamuoa mtu aje aishi kwako, unataka asiangalie uwezo wako,aangalie nini sasa
 
Tuweke pembeni suala la baadhi ya wanawake kupenda pesa, UNAPASWA KUWA NA MICHUZI wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…