Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

Kwa kuwa jina lake ni TAX basi apewe wizara ya fedha labda utabuni njia mbadala za kukusanya TAX ili tuondokane na tozo za miamala.
Syo kuwa jina lake tu ndo TAX bali pia ni mtaalamu wa TAXATION
 
Hapo,MULA MULA ndo atakabidhi ofisi kwa huyo MAMA TAX ,halafu atatafutiwa wizara nyingine kwa kuwa huyo MAMA TAX Ana uzoefu na masuala ya kimataifa kuliko,MULA*2
 
Kitila na biashara wapi na wapi ..kitila angefaa Sana wizara ya elimu kuliko yule mama asiyejua kiingereza ..kitila anaweza mageuzi ya elimu maana amekuwa mhadhiri chuo kikuu na anajua changamoto za elimu yetu vema...

..huyu mama tax anafaa kwenye mambo ya nje ama biashara ...
 
Kama ni uhadhiri ,Basi Prof.Ndalochako no mbombezi!
 
Niambieni waziri gani anaeupiga mwimgi sasa? Naona wao bora liende tu sasa....hakuna ubunifu hata
 
Tatizo lake ni moja tu, kama mwenzake wa tozo...They think they know everything...Mtu mjuaji jawezi kupata support nzuri kutoka kwa wadau...Wanamwacha akaanguke mwenyewe huko
 
Swali fikirishi je tuna mfumo maalumu wa kiuchumi 'Tanzania Economic Structure'
Nahisi template ni ile ile ya tangu uhuru...Mh. Mpango alijitahidi sana kuja na new things but country was not at its best mode....Ufisadi na uvurugaji baada ya awamu ya tatu iliyo anzisha mifumo kutokana na advices za WB/WD ulikuwa mkubwa sana...JPM alikuwa anataka kurudisha misingi ya nchi katika ujamaa but then dunia na mfumo haukuwa rafiki na pia he failed to be assertive...Alikuwa aggressive huku watendaji wakiwa passive na raia wakiwa wamebaki kuangalia one man show...
 
 
Okay
 
Wanazuoni tulimsihi sana Kitila abaki kwenye ukatibu mkuu, cheo ambacho angebaki nacho hadi kustaafu.

Katika cheo hicho alikuwa entitled na nyumba ya bure, gari la bure ambalo linafanana na gari la waziri, mshahara mnono pamoja na marupu rupu kibao.

Lakini kwa tamaa zake, hakutusikiliza akaenda kuwania ubunge ili apate uwaziri.
Sasa uwaziri umekwenda na maji huku uhakika wa kurudi jimboni 2025 nao ukiwa mdogo...
 
Yah nilishanga Sana hyu professor unaenda kukimbilia Mambo ya ubunge wakiaminishwa na jiwe kuwa watakuwa mawazir mpk wanaacha siasa pumbafu atarud kutulia hapa msewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…