kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Syo kuwa jina lake tu ndo TAX bali pia ni mtaalamu wa TAXATIONKwa kuwa jina lake ni TAX basi apewe wizara ya fedha labda utabuni njia mbadala za kukusanya TAX ili tuondokane na tozo za miamala.
Mkumbo ndio anapigwa kikumbo japo hakimtoi utumbo 🤣 🤣 🤣Huyo anamuamini maana ndio Cash cow. Mkumbo ndio anapigwa kikumbo japo hakimtoi utumbo
HaupoSwali fikirishi je tuna mfumo maalumu wa kiuchumi 'Tanzania Economic Structure'
Kama ni uhadhiri ,Basi Prof.Ndalochako no mbombezi!Kitila na biashara wapi na wapi ..kitila angefaa Sana wizara ya elimu kuliko yule mama asiyejua kiingereza ..kitila anaweza mageuzi ya elimu maana amekuwa mhadhiri chuo kikuu na anajua changamoto za elimu yetu vema...
..huyu mama tax anafaa kwenye mambo ya nje ama biashara ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkumbo ndio anapigwa kikumbo japo hakimtoi utumbo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hao ni vilaza hawana elimu sema tunawasifia tu.Hakuna wakijuacho zaidi ya kutumia nguvu bila akili.Wateuliwe wanajeshi kutoka JWTZ wasimamie hizo wizara
Tatizo lake ni moja tu, kama mwenzake wa tozo...They think they know everything...Mtu mjuaji jawezi kupata support nzuri kutoka kwa wadau...Wanamwacha akaanguke mwenyewe hukoWizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa.
Prof. Kitila uteuzi wake ulionekana bora ila ni wazi hakuna mtu ambbaye ameboronga sana katika wizara hiyo kama Kitila....
Uteuzi huu wa leo wa Tax kuwa Mbunge wa kuteuliwa, ni wazi nafasi ya Kitila inaenda kuchukuliwa. Na litakuwa jambo bora sana sana. Kitila kafail teribbly katila hiyo wizara. Hana jipya, kachoka wakati bado ni asubui na safari ndio kwanza inaanza.
Asante Mama kwa kuliona hilo.
..hajawahi huyu we ...alikua anatumia lugha gani..Kama ni uhadhiri ,Basi Prof.Ndalochako no mbombezi!
Nahisi template ni ile ile ya tangu uhuru...Mh. Mpango alijitahidi sana kuja na new things but country was not at its best mode....Ufisadi na uvurugaji baada ya awamu ya tatu iliyo anzisha mifumo kutokana na advices za WB/WD ulikuwa mkubwa sana...JPM alikuwa anataka kurudisha misingi ya nchi katika ujamaa but then dunia na mfumo haukuwa rafiki na pia he failed to be assertive...Alikuwa aggressive huku watendaji wakiwa passive na raia wakiwa wamebaki kuangalia one man show...Swali fikirishi je tuna mfumo maalumu wa kiuchumi 'Tanzania Economic Structure'
Kwani Kuna waziri anayemudu wizara yake kwa Sasa?
Huyu wa foreign tulitegemea atakua jembe kumbe Yuko pale kuwatisha wazungu wasisikilize kesi ya Mbowe.
Finance Kuna the worst finance minister after Nkuya.
You can't steal an election and be a good minister, wooow
OkayWizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa.
Prof. Kitila uteuzi wake ulionekana bora ila ni wazi hakuna mtu ambbaye ameboronga sana katika wizara hiyo kama Kitila....
Uteuzi huu wa leo wa Tax kuwa Mbunge wa kuteuliwa, ni wazi nafasi ya Kitila inaenda kuchukuliwa. Na litakuwa jambo bora sana sana. Kitila kafail teribbly katila hiyo wizara. Hana jipya, kachoka wakati bado ni asubui na safari ndio kwanza inaanza.
Asante Mama kwa kuliona hilo.
Yah nilishanga Sana hyu professor unaenda kukimbilia Mambo ya ubunge wakiaminishwa na jiwe kuwa watakuwa mawazir mpk wanaacha siasa pumbafu atarud kutulia hapa mseweWanazuoni tulimsihi sana Kitila abaki kwenye ukatibu mkuu, cheo ambacho angebaki nacho hadi kustaafu.
Katika cheo hicho alikuwa entitled na nyumba ya bure, gari la bure ambalo linafanana na gari la waziri, mshahara mnono pamoja na marupu rupu kibao.
Lakini kwa tamaa zake, hakutusikiliza akaenda kuwania ubunge ili apate uwaziri.
Sasa uwaziri umekwenda na maji huku uhakika wa kurudi jimboni 2025 nao ukiwa mdogo...
Finance Kuna the worst finance minister after Nkuya