Baada ya Utopolo kuachia ubingwa soka likaanza kunawiri

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Nimekumbuka tu, ilikuwa msimu wa 2015-16, ilikuwa mara ya mwisho Utopolo wakikabidhiwa kombe lao la ligi ya Vodacom.

Baada ya hapo kombe likawa chini ya mikono salama ya kitaalamu. Baada ya hapo wataalam wakalitangaza soka la Tanzania likavuma Afrika na duniani kote.

Baada ya hapo Tanzania ikaanza kupeleka timu 4 kimataifa.

Baada ya hapo mpira ukawa biashara kubwa na yenye pesa nzuri.
 
Baada ya Uto kuachia ubingwa msimu wa 15/16 ndo Tanzania tunapata timu kwenye top 20 ya vilabu bora Africa.

Baada ya Uto kuachia ubingwa watu wakawa na mwamko wa soka N-Card ndo zikaanza ili kudhibiti mapato ya viingilio.

Baada ya Uto kuachia ubingwa,,,,,
 
Kwan soka safi bado lipo Simba? Nikumbushe tafadhar
 
Baada ya hapo kombe likawa chini ya mikono salama ya kitaalamu. Baada ya hapo wataalam wakalitangaza soka la Tanzania likavuma Afrika na duniani kote.[emoji1534]
 
Yanga ni timu ya watu wasio na malengo ya kueleweka wao ni bora liende ndiyo maana hata klabu Bingwa wameshiriki mara nyingi zaidi ila mafanikio yao huko ni madogo sawa na kupoteza muda ambao wangekaa hata wajengee ofisi na viwanja vya michezo yaani huwa nikitazama walichokifanya huko huwa nabaki kucheka kwa dharau
 
Jinsi walivyojiandaa zaidi na siku ya mwananchi kuliko kujiandaa na mechi ya klabu bingwa hakika hawana malengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…