OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimekumbuka tu, ilikuwa msimu wa 2015-16, ilikuwa mara ya mwisho Utopolo wakikabidhiwa kombe lao la ligi ya Vodacom.
Baada ya hapo kombe likawa chini ya mikono salama ya kitaalamu. Baada ya hapo wataalam wakalitangaza soka la Tanzania likavuma Afrika na duniani kote.
Baada ya hapo Tanzania ikaanza kupeleka timu 4 kimataifa.
Baada ya hapo mpira ukawa biashara kubwa na yenye pesa nzuri.