Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Haina tofauti na Pajero.
 
Hujapendezwa wew kama nan.mnunuaj au mpenZ mtazamaj na mshabik
Sawa,kununua ushindwe hata kuitazama tu na kuifuatilia ili uijue?
Mwwnzi nina baiskeli ila nayajua hayo magari zaidi ya hata wanaoyamiliki na kuyaendesha
 
Umegundua eeh!ameshaona Nissan anakuja kwa kasi kaamua kumfuatia huko huko,sasa ujinga wa Nissan badala ya kujiongeza atabakia anashangaa mpaka jamaa atamfunika...
Tatizo katoa jini linatumia petrol tu 5.6l V8 Engine
 
Daa.. pumzika kwa amani injini ya vieiti, tulikupenda sana na msauti wako wa kibabe kwenye diesel, kale kamluzi ka exhaust na twin turbo masikioni mwetu.
 
Wana c-hasa wa bongo watatoana Roho wapande hizo ndinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…