Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Inakuwaje wanajamvi!

Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa.

Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo.

Ila engine itakuwa na nguvu pia high performance. Pia itakuwa hybrid. View attachment 1695573View attachment 1695574View attachment 1695575View attachment 1695576View attachment 1695577View attachment 1695578
Haina tofauti na Pajero.
 
Hujapendezwa wew kama nan.mnunuaj au mpenZ mtazamaj na mshabik
Sawa,kununua ushindwe hata kuitazama tu na kuifuatilia ili uijue?
Mwwnzi nina baiskeli ila nayajua hayo magari zaidi ya hata wanaoyamiliki na kuyaendesha
 
Umegundua eeh!ameshaona Nissan anakuja kwa kasi kaamua kumfuatia huko huko,sasa ujinga wa Nissan badala ya kujiongeza atabakia anashangaa mpaka jamaa atamfunika...
Tatizo katoa jini linatumia petrol tu 5.6l V8 Engine
 
Daa.. pumzika kwa amani injini ya vieiti, tulikupenda sana na msauti wako wa kibabe kwenye diesel, kale kamluzi ka exhaust na twin turbo masikioni mwetu.
 
Wana c-hasa wa bongo watatoana Roho wapande hizo ndinga
 
Back
Top Bottom