Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

Kwani mbona hamsemi hawa jamaa waongea chochote Clouds walimsema nini Mwisho
 
hiv ni maneno mgani aliyosemwa mwisho mpaka akawatukana clousd fm
 
Mtawasema saana ,lakini Clouds ndio wameshikilia Mziki hapa Bongo ....we Subiri kwenye lile Tamasha lao la mwezi wa 10 uone watu wanavojaa
 
Hao akili hazimo mi nishahamia kwa mengi coz naona CLOUDS WAMEJAA MAJUNGU UNAZANIA REDIO YA KIKE
 
Hivi mbona hamsemi huyo Mwisho kafanywa nini?
 
Haina ladha kabisa siku hizi sawa na ze comedy walipohama ITV kwenda TBC hawana issue siku hizi
 
Naamini Mwisho Mwampamba si mwendawazimu,hawa viruses katika tasnia ya utangazaji lazima wamelizua kweli.Unajua hao 'scumbags' wa hiyo redio nadhani ulimbukeni katika utangazaji hauwaishi tu,kila leo wasemwe wao tu na si wengine.Tatizo wanaendesha redio yao huku elimu na akili zao wakiwa wamezikalia,nadhani watu wako sawa,wanaupiga mawe mti usiokuwa na matunda.Tekkea Clouds Frequency Modulation.
 
jamani humu ndani kuna ushabiki sana!! kabla ya kuwashambulia hao clouds ni vyema ingejulika chanzo kisha hukumu itoke!! huyu mwisho naona anatafuta cha kurudia mjini tu maana sijaona sababu ya yeye kutukana na hajaongelewa vibaya hata kidogo!! na huyu mleta mada nae ni janga tu!!

mimi jana nilisikia icho ambacho yeye Mwisho anachodai anafuatiliwa!! ktk kipindi cha XXL walikuwa wanasoma toleo jipya la BAB KUBWA na kuna habari inayomuhusu MWISHO kumuacha mkewe na kurudiana na BABY MADAHA!!! je hapo kafuatiliwa nini!!?
 
Hii redio nilishaifuta kwenye gari na nikipanda gari ya mshkaj yeyote naifuta. Wapuzi sana hawa jamaa
 
Kumekucha-source Ritz.
Ni wazi mwampamba ameanza kuchanganyikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Umbea mwingi badala ya habari watasikiliza wenyewe kina yahya

Umbea......mmmmmmh.......sio muda/vipindi vyote.

Kuna muda Babra wa dstv na Nando walikuwa studio kwao, mmoja wa watangazaji bila WASIWASI akaanza kujifagilia kuwa watoto wake wapo bize na remote kuangalia bba.

Nijuavyo mimi huo mchezo umejaa uchafu usiofaa kwa watoto.

Sasa hapo jamaa alikuwa ni mmbea au muongo ?

Ila nina wasiwasi kuwa kuna mengi ambayo wasikilizaji huwa tunaburuzwa.
 
kwan nando amesharudi tz?!
 
clouds wanakera sana hasa huyu anaejiita wacwac mwabulambo, na wale wengne wa kpnd cha jahaz ,yaani wao kaz yao ni kuchambua mambo kinafk,
kama isingekuwa spot extra nsingekuwa naisikiliza mim
 
Back
Top Bottom