Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao akili hazimo mi nishahamia kwa mengi coz naona CLOUDS WAMEJAA MAJUNGU UNAZANIA REDIO YA KIKE
Umbea mwingi badala ya habari watasikiliza wenyewe kina yahya
Umbea......mmmmmmh.......sio muda/vipindi vyote.
Kuna muda Babra wa dstv na Nando walikuwa studio kwao, mmoja wa watangazaji bila WASIWASI akaanza kujifagilia kuwa watoto wake wapo bize na remote kuangalia bba.
Nijuavyo mimi huo mchezo umejaa uchafu usiofaa kwa watoto.
Sasa hapo jamaa alikuwa ni mmbea au muongo ?
Ila nina wasiwasi kuwa kuna mengi ambayo wasikilizaji huwa tunaburuzwa.
Mtawasema saana ,lakini Clouds ndio wameshikilia Mziki hapa Bongo ....we Subiri kwenye lile Tamasha lao la mwezi wa 10 uone watu wanavojaa