NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
kushikilia mziki hakutuzuii kuujadili ungese wao.hawa jamaa wana matatizo na huko kushikilia mziki kutakwisha tu.Mtawasema saana ,lakini Clouds ndio wameshikilia Mziki hapa Bongo ....we Subiri kwenye lile Tamasha lao la imwezi wa 10 uone watu wanavojaa
kulijadili hilo huoni kuwa ni umbea na wao wawe wanatangaza yote yanayowatokea wao na familia zaojamani humu ndani kuna ushabiki sana!! kabla ya kuwashambulia hao clouds ni vyema ingejulika chanzo kisha hukumu itoke!! huyu mwisho naona anatafuta cha kurudia mjini tu maana sijaona sababu ya yeye kutukana na hajaongelewa vibaya hata kidogo!! na huyu mleta mada nae ni janga tu!!
mimi jana nilisikia icho ambacho yeye Mwisho anachodai anafuatiliwa!! ktk kipindi cha XXL walikuwa wanasoma toleo jipya la BAB KUBWA na kuna habari inayomuhusu MWISHO kumuacha mkewe na kurudiana na BABY MADAHA!!! je hapo kafuatiliwa nini!!?
kulijadili hilo huoni kuwa ni umbea na wao wawe wanatangaza yote yanayowatokea wao na familia zao
Bila kujali uzito wake.au walitaka mwisho amuoe mchofomvu na sio baby madaha?
Kwani mbona hamsemi hawa jamaa waongea chochote Clouds walimsema nini Mwisho
Walisema ati star wa bba anauza duka la nepi za watoto samahani lakini😱🙁
Hawana jpya.
Me nshaacha, cku iz npo na mengi + kic fm mmhh......??
acha kupelekwa na hisia wewe!! ina masna wao ni wa kwanza kusoma magazeti??
Yaani mtu hajasema huyo Mwisho aliambiwa nini au alinukuu wapi alichosema Mwisho ninyi mnavamia tu mweh
radio ya wafu...blauz fm
Mkuu ukishakuwa mwizi tu,hata kama mtakuwa mnafukuzana na mtu kwa utani tu,watu lazima wadili na wewe.
Walisema ati star wa bba anauza duka la nepi za watoto samahani lakini😱🙁
Hata kama mwisho anauza nepi inasemwa hata wao wengi ni wauza jicho.yaani wanakonyezwa