Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

Mtawasema saana ,lakini Clouds ndio wameshikilia Mziki hapa Bongo ....we Subiri kwenye lile Tamasha lao la imwezi wa 10 uone watu wanavojaa
kushikilia mziki hakutuzuii kuujadili ungese wao.hawa jamaa wana matatizo na huko kushikilia mziki kutakwisha tu.
 
jamani humu ndani kuna ushabiki sana!! kabla ya kuwashambulia hao clouds ni vyema ingejulika chanzo kisha hukumu itoke!! huyu mwisho naona anatafuta cha kurudia mjini tu maana sijaona sababu ya yeye kutukana na hajaongelewa vibaya hata kidogo!! na huyu mleta mada nae ni janga tu!!

mimi jana nilisikia icho ambacho yeye Mwisho anachodai anafuatiliwa!! ktk kipindi cha XXL walikuwa wanasoma toleo jipya la BAB KUBWA na kuna habari inayomuhusu MWISHO kumuacha mkewe na kurudiana na BABY MADAHA!!! je hapo kafuatiliwa nini!!?
kulijadili hilo huoni kuwa ni umbea na wao wawe wanatangaza yote yanayowatokea wao na familia zao
Bila kujali uzito wake.au walitaka mwisho amuoe mchofomvu na sio baby madaha?
 
kulijadili hilo huoni kuwa ni umbea na wao wawe wanatangaza yote yanayowatokea wao na familia zao
Bila kujali uzito wake.au walitaka mwisho amuoe mchofomvu na sio baby madaha?

acha kupelekwa na hisia wewe!! ina masna wao ni wa kwanza kusoma magazeti??
 
Hakuna cha hisia clouds ni wambea tu na watazidi kuchukuwa alikufa yesu nini mawingu bana.
 
Huo wote ni wivu tu!,,,,,,,,,,,,,................mi japo napenda kuisikiliza hii Radio ila huyo KIBONDE ni wa kwenda kumpima!....hao wengi sio wabaya sana! eti yeye kila kitu anajua kupinga yeye ivi hana washauri,,,,,!!kuna mada majuzi niliileta hapa ya kumsema mod ameitoa sijui nae anamuogopa kwamba atamsema RADION?
 
Yaani mtu hajasema huyo Mwisho aliambiwa nini au alinukuu wapi alichosema Mwisho ninyi mnavamia tu mweh
 
kazi nyingi za bongo zinafanywa na watu wasio na cv zinazostahili,wengi wao wanabumba "coz of cheap labour".
 
Yaani mtu hajasema huyo Mwisho aliambiwa nini au alinukuu wapi alichosema Mwisho ninyi mnavamia tu mweh

Mkuu ukishakuwa mwizi tu,hata kama mtakuwa mnafukuzana na mtu kwa utani tu,watu lazima wadili na wewe.
 
Hata kama mwisho anauza nepi inasemwa hata wao wengi ni wauza jicho.yaani wanakonyezwa
 
Back
Top Bottom