Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
mkuu hakuna anaekataa mediatek ana low end soc nzuri, hapa tunazungumzia Huawei kampuni inayosifika kwa flagship, mate 40, p40 etc, kuna mediatek gani inafit hizo simu?Umesahau hata samsung ametumia mtk, mfano Galaxy A10s, na Nokia pia 5.1 na nyingine pia nyingi za kitambo hata kabla ya p22
Ametoa May mwaka huu mkuu...inaitaa mediatek dimensity 1000 kama nakumbuka jina vizuri.Hawana chochote cha kukimbiza watu, labda huawei amwage mpunga watu wafanye tafiti zaidi, mwaka sijui wa ngapi huu mediatek hana flagship soc, mara ya mwisho ilikuwa ni p25 miaka zaidi ya mitano iliopita.
TSC company nao wanatumia tech na vifaa vya Marekani so ni ngumu huawei kutumia mediatek kwa ajili Soc zao sababu zilezile kama za samsung kutowauzia exynos kama mbadala wa hisilcon kirin.Sidhani hata kama mediatek wanauwezo wa kutengeneza soc bila technology za marekani, mpaka leo hawatoi source code za chip zao sababu tech sio yao na wana makubaliano ya kuificha, ni muda tu na wao pia watafungiwa.
Haya mambo hayahitaji ushabiki.Technolojia haiendi kiushabiki kama tunavyochukulia hapa jf kama vile ligi za mpira. Na haimaanishi kwamba basi marekani ndio ameshikilia kila kitu. Wachina hawalali na walishafikiria hili suala muda sana. Hatua zilishaanza muda na kina oppo na huawei walishaanza kujihami na kujiwekea misingi kwaajili ya hali kama hii isiwaangushe kibiashara.
Huwezi hata kuona invention ya 5G Imeanzia wapi. Wao wachina walitoa wapi hiyo technology kama ni ya mmarekaniHaya mambo hayahitaji ushabiki.
Sasa wewe unaongea nadharia.
Simu yoyote ukiiona hapa Duniani ujue 95% au zaidi ina teknoloji ya kimarekani.
Sasa hao oppo sijui Huawei wataibuka na teknolojia yao ya simu wataitoa wapi?
Haya mambo sio ya man u na Chelsea
Wewe vitu vingi bado huvielewi. 5G haijagunduliwa, ni teknolojia ile ile ya 3G, 4G na kuendelea.Huwezi hata kuona invention ya 5G Imeanzia wapi. Wao wachina walitoa wapi hiyo technology kama ni ya mmarekani
5G=3G=4G ?Wewe vitu vingi bado huvielewi. 5G haijagunduliwa, ni teknolojia ile ile ya 3G, 4G na kuendelea.
Unaposema 5G imegunduliwa na China inaonyesha kabisa kuna vitu huelewi.
Mkuu Nokia unailinganisha na Blackberry kweli?!!R.i.p huawei in advance. Wasalimie blackberry na mwenzie Nokia. [emoji112]
Mkuu Nokia unailinganisha na Blackberry kweli?!!
Sasa huoni mediatek imefungwa kwenye low end? Uliwahi kuona Samsung kafunga mtk kweny flagship?Umesahau hata samsung ametumia mtk, mfano Galaxy A10s, na Nokia pia 5.1 na nyingine pia nyingi za kitambo hata kabla ya p22
[emoji769] Chinese bado sana kwa mzungu wa USA. Anajitutumua upuuuzi tuuuuu, akipambana akizuiwa asitumie Android anakua amekufa kwa mara ya piliKwamba akagombanie mpira na akina itel,tecno,oppo n the like.
Simu zote zinazotumia mediatek bila kujali ni daraja gani,ndizo zinauzwa bei mbuzi sababu nguvu haba.
Baada ya huawei kujitutumua na kukimbia asili anayofanana nayo miaka kibao kisha kufanikiwa kuzalisha simu viwango,ghafla anarudi 0.
Hata huwa nashangaa wanaoipamba china kwa marekani huwa wanawaza nini,kama mambo yenyewe ndio haya ya shoka moja,mbuyu chini[emoji848][emoji848]
Iliotoka may ni Dimensity 1000+, dimensity 1000 imezinduliwa Toka November 2019 na mpaka leo imetumika sijui simu tu ya Oppo, Na wao kwao ni flagship ila huwezi kuiweka kundi moja na flagship za sasa, Hata kwenye uzinduzi wao walikuwa wanai compare na sd 855.Ametoa May mwaka huu mkuu...inaitaa mediatek dimensity 1000 kama nakumbuka jina vizuri.
Hapo nakuunga mkono bro[emoji769] Chinese bado sana kwa mzungu wa USA. Anajitutumua upuuuzi tuuuuu, akipambana akizuiwa asitumie Android anakua amekufa kwa mara ya pili
nzuri hiyoAise Mimi naamini ukibwana na kushambuliwa na mashoga na marafiki uwezo wa kufikiri unaongezeka, hope mchina atakuja na new idea....
Huyu m'marekani ni choko tu. Anataka yeye tu ndie apate.....anasema free and fair competition but yeye ndie ashinde sio wenzake...... Hata kwenye democracy ni kwa wenzake tu ila yeye hataki kuingiliwa..... Choko sana huyu.......Wamarekani wameshindwa fair competetion. Ila huawei ana simu kali sana aisee