wewe endelea kuishi miaka 50 iliopita, technology inakuwa kwa kasi sana, miaka 30 iliopita ukizungumzia mambo ya network unataja makampuni kibao ya Marekani, leo hii hali imebadilika kina Motorola, lucent etc wote hawapo na ameshindwa vibaya sana Race ya 5g.
kila kitu cha marekani unachogusa sasa hivi asili yake ni japan, kuanzia ndege kama Boeing, uje simu kama iphone, nenda processor kina intel na amd na silicon zao, nenda energy kama hizo nuclear na mambo mengi tu asili yake ni Japan, JApan anamaliza tech ngumu wao wanakuja kupachika.
haya si maneno yangu, huyu jamaa ni mmarekani tena yupo jeshini amefanya utafiti wake soma hii habari forbes.
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor
kuhusu hio steel ya Nuclear source yangu hii hapa
Japan Steel Works - Wikipedia
kuna viwanda 5 tu duniani vya chuma cha nuclear, kimoja urusi, kimoja ufaransa, viwili china na hio Japan steel, lakini vyote hivyo hakuna hata kimoja kinachoweza kutengeneza kinu bila kuunga vipande vipande, Japan steel pekee ndio wanaweza na kureduce risk kubwa ya radiation kuvuja.
ukitaka pia chochote huko juu nilichoongea nitakupa source