Duh mkuu wewe endelea tu kufukua makaburi huku kwenye mambo ya tech waachie wataalamu.Wewe vitu vingi bado huvielewi. 5G haijagunduliwa, ni teknolojia ile ile ya 3G, 4G na kuendelea.
Unaposema 5G imegunduliwa na China inaonyesha kabisa kuna vitu huelewi.
Bakia kushabikia habari za kuambiwa ila kama haujui taarifa za kitechnolojia na za kiundani juu ya hizi bidhaa acha kushabikia...Huaweii ni Sawa tu na tecno
Wazee wa Propaganda naona mpo kazini.Mfano Hali ni uundwaji wa nuclear weapon 75% ya top best scientists walikuwa wayaudi Sasa sisi wa Africa ambao tunapenda mambo ya babu kunoga na waganga wakienyeji sijui tutatokea wapi?
Nakuunga mkono, kwenye maswala ya high tech materials kama vifaa ya kuunda semiconductor JAPAN ni muuzaji mkubwa.Wazee wa Propaganda naona mpo kazini.
Hakuna Nchi yoyote duniani yenye uwezo wa kuwa na Vinu vya Nyuklia bila Involvement ya Japan sio Marekani, Sio Iran, Sio urusi wala China. Unless itumie tech za zama za kale.
JAPAN steel ndio kampuni pekee duniani yenye uwezo wa kutengeneza Chuma kinachokaa katikati ya Kinu cha Nyuklia bila kuunganisha vipande vipande.
Ndio maana Nchi kama Iran na Marekani japo ni Maadui wana Common friend ambaye ni Japan.
Leo Ukienda Marekani unakuta Makampuni Kama Hitachi ama Toshiba ndio yanachakata kwenye hivyo vinu. Je hawa Usa hawajui kama Israel wana Exist kwanini wanawategemea hawa Japan kwenye sector muhimu kama hii?
Usa na China wote ni wazee wa Hypes na propaganda include hao Israel, wanajua tu kubwabwaja kwenye media, kubrainwash watu, kununua wana habari na kujisifia ila kuna Nchi nyingi sana za Ulaya Na Japan ambazo zina Technology Advanced zaidi kushinda wao.
Wewe akili huna.Duh mkuu wewe endelea tu kufukua makaburi huku kwenye mambo ya tech waachie wataalamu.
So kwako 3G, 4G na 5G ni kitu kimoja, aiseee nimeamini kujisomea ni muhimu.....
Hebu ingia hata Google ujisomee kujua tofauti
Tuandamane?US ana kaubabe flani hivi, sio wa kumchukulia poa.
Tatizo ni Ren kuwa mwanajeshi.Nokia , erickson, AT&T mungu anawaona. Mbeleko hii ...
Aiseee. Watafute tech yaoNaona Huawei ni pigo juu ya pigo.
Huu ni uamuzi wa leo. Baada ya Commerce Department kuwaweka blacklist imefuata FCC.
FCC designates Huawei, ZTE as risks to national security
Mkuu Chief, hiyo 5nm ikoje?
Shoga anayehakikisha baba yako kijijini anapewa dawa za ... bureAise Mimi naamini ukibwana na kushambuliwa na mashoga na marafiki uwezo wa kufikiri unaongezeka, hope mchina atakuja na new idea....
Hahaha duniani tunategemeana na kusaidiana hivyo kitendo cha kumnyima mwenzako kitu Fulani either kwa maslahi fulani ,Mungu atainua wengine apunguze kiburi ulichonacho....Shoga anayehakikisha baba yako kijijini anapewa dawa za ... bure
Hahaha duniani tunategemeana na kusaidiana hivyo kitendo cha kumnyima mwenzako kitu Fulani either kwa maslahi fulani ,Mungu atainua wengine apunguze kiburi ulichonacho....
Ahsante black AmericanPoleni anti America
Ahsante black American
Acha ujinga wewe Japan ni dogo lake USA sawa. hi ilitokea baada ya mmarekani kumpiga mjapan kipigo Cha hatari ndio wakasema wataanza kushare technology ili kupunguza makali dhidi ya hasara ya heroshima na Nagasaki. Hiyo steel inayosema inakaa katika ya kinu alikudanganya Nani? Niambie anaitwaje maana mm kwa uwelewa wangu katikati ya kinu inakaa graphite Sasa sijui hiyo steel ina wapi?Wazee wa Propaganda naona mpo kazini.
Hakuna Nchi yoyote duniani yenye uwezo wa kuwa na Vinu vya Nyuklia bila Involvement ya Japan sio Marekani, Sio Iran, Sio urusi wala China. Unless itumie tech za zama za kale.
JAPAN steel ndio kampuni pekee duniani yenye uwezo wa kutengeneza Chuma kinachokaa katikati ya Kinu cha Nyuklia bila kuunganisha vipande vipande.
Ndio maana Nchi kama Iran na Marekani japo ni Maadui wana Common friend ambaye ni Japan.
Leo Ukienda Marekani unakuta Makampuni Kama Hitachi ama Toshiba ndio yanachakata kwenye hivyo vinu. Je hawa Usa hawajui kama Israel wana Exist kwanini wanawategemea hawa Japan kwenye sector muhimu kama hii?
Usa na China wote ni wazee wa Hypes na propaganda include hao Israel, wanajua tu kubwabwaja kwenye media, kubrainwash watu, kununua wana habari na kujisifia ila kuna Nchi nyingi sana za Ulaya Na Japan ambazo zina Technology Advanced zaidi kushinda wao.
wewe endelea kuishi miaka 50 iliopita, technology inakuwa kwa kasi sana, miaka 30 iliopita ukizungumzia mambo ya network unataja makampuni kibao ya Marekani, leo hii hali imebadilika kina Motorola, lucent etc wote hawapo na ameshindwa vibaya sana Race ya 5g.Acha ujinga wewe Japan ni dogo lake USA sawa. hi ilitokea baada ya mmarekani kumpiga mjapan kipigo Cha hatari ndio wakasema wataanza kushare technology ili kupunguza makali dhidi ya hasara ya heroshima na Nagasaki. Hiyo steel inayosema inakaa katika ya kinu alikudanganya Nani? Niambie anaitwaje maana mm kwa uwelewa wangu katikati ya kinu inakaa graphite Sasa sijui hiyo steel ina wapi?
Mkuu unajua npk baasiwewe endelea kuishi miaka 50 iliopita, technology inakuwa kwa kasi sana, miaka 30 iliopita ukizungumzia mambo ya network unataja makampuni kibao ya Marekani, leo hii hali imebadilika kina Motorola, lucent etc wote hawapo na ameshindwa vibaya sana Race ya 5g.
kila kitu cha marekani unachogusa sasa hivi asili yake ni japan, kuanzia ndege kama Boeing, uje simu kama iphone, nenda processor kina intel na amd na silicon zao, nenda energy kama hizo nuclear na mambo mengi tu asili yake ni Japan, JApan anamaliza tech ngumu wao wanakuja kupachika.
haya si maneno yangu, huyu jamaa ni mmarekani tena yupo jeshini amefanya utafiti wake soma hii habari forbes.
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor
kuhusu hio steel ya Nuclear source yangu hii hapa
Japan Steel Works - Wikipedia
kuna viwanda 5 tu duniani vya chuma cha nuclear, kimoja urusi, kimoja ufaransa, viwili china na hio Japan steel, lakini vyote hivyo hakuna hata kimoja kinachoweza kutengeneza kinu bila kuunga vipande vipande, Japan steel pekee ndio wanaweza na kureduce risk kubwa ya radiation kuvuja.
ukitaka pia chochote huko juu nilichoongea nitakupa source
5G ndio anapigwa pini mbaya zaidi. Marekani ana lengo la kuiondoa Huawei Sokoni kabisa.Huawei aachane na Mobile Phone division.
Huku wameshampiga pini kila mahala, kuanzia software hadi hardware.
Akomae na mitambo ya 5G.