Baada ya vikwazo vya Marekani, Huawei kutumia Mediatek chip kuanzia 2021

Absolutely 100%
 
Na lazima aondoke katika soko. Maana Mmarekani akizuia vifaa vya mchina visitumie software kama Facebook, Instagram, Twitter, Pinterest, Google, Maps, WhatsApp na mitandao mengine ujue iyo kampuni lazima ife faster hakuna kubisha
 
Mchina haaminiki kidukuzi yule!
Maisha ya sahivi kudukuliwa ni kugusa tu.. utakumbuka hata lile jengo la umoja wa Afrika liligundulika kuna udukuzi ulikuwa ukifanyika!!..
Ndio inawezakuwa vita ya kiuchumi lkn pia mtu hujikuna anapowashwa..
Marekani mwenyewe anadukua dunia nzima. Umesahau skendo ya kudukua viongozi wa ujerumani??
Sema anapelekwa puta na China sahivi, anatafuta kila mbinu ya kumpunguza speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…