Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei.

Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari ya Huawei na kuanza kuachana nayo.

India imesema itaiondoa Huawei kushiriki kwenye majaribio ya 5G yanayotarajia kuanza hivi karibuni. Kama tunavyojua India ni mshirika mkubwa sana wa Marekani.

Vikwazo vya Marekani vimeanza kufanya kazi, nchi kadhaa sasa zimeanza kuuondoa Huawei kwenye mipango ya kuweka mitambo ya 5G kwenye nchi zao.

Hali itakua mbaya zaidi kuanzia mwaka 2021 kwa sababu Huawei hataweza kuzalisha chipset za simu zake za P series kutokana na vikwazo vya Marekani.

===
  • Indian government ministers discussed the country’s 5G rollout plans and whether Chinese telecommunications equipment giants Huawei and ZTE should be allowed to participate, according to a report from the Times of India.
  • It comes after the Indian government said it would block 59 Chinese apps such as TikTok and WeChat, claiming they are a threat to national security.
  • India and China tensions have been on the rise over a border clash that has left 20 Indian soldiers dead.

Huawei could be banned from participating in India’s 5G network rollout, just months after it was given the green light to participate in the country’s trials for the technology.

It comes after the Indian government said it would block 59 Chinese apps such as TikTok and WeChat, claiming they were a threat to national security.

As part of those discussions, Indian government ministers discussed the country’s 5G rollout plans and whether Chinese telecommunications equipment giants Huawei and ZTE should be allowed to participate, according to a report from the Times of India.

India’s Ministry of Electronics and Information Technology, as well as Chinese firms Huawei and ZTE, were not immediately available for comment when contacted by CNBC.

5G refers to the next-generation mobile networks that promise super-fast download speeds and the ability to support critical infrastructure. India has lagged behind in its rollout of the technology, while other countries like South Korea and China have powered ahead.

In December, India said it would allow all vendors to participate in 5G trials with vendors. But the latest report of a potential ban on the Chinese firms appears to be a U-turn.
Tensions between India and China have been rising over their disputed border high in the Western Himalayas and a clash earlier this month left 20 Indian soldiers dead.

“The China-India ... dispute, compounded with the economic stress caused due to the (coronavirus) pandemic, has likely forced the government thinking to adopt a strategy similar to U.S. to potentially retaliate in a way where it would hurt China the most,” Neil Shah, research director at Counterpoint Research, told CNBC.

India’s biggest mobile network, Reliance Jio, uses Samsung for its older 4G network. The other two largest players — Bharti Airtel and Vodafone Idea — use a mixture of vendors including Huawei. All three carriers have submitted applications to do 5G tests with various vendors including Huawei, Indian publication the Financial Express reported this month.

Huawei gear makes up one-third of Bharti Airtel’s current network and 40% of Vodafone Idea’s network, according to Counterpoint Research.

It would be a “significant loss” for Huawei and ZTE if the government goes ahead and bans them, Shah said.
All three Indian telcos were not immediately available for comment when contacted by CNBC.

‘Tide is turning’
For about a year and a half, the U.S. government has been pressuring countries to block Huawei from their 5G networks, alleging that its gear could be used by Beijing to spy on citizens of foreign nations. Huawei has repeatedly denied that it would let this happen.

On June 24., U.S. Secretary of State Mike Pompeo declared that “the tide is turning against Huawei as citizens around the world are waking up to the danger of the Chinese Communist Party’s surveillance state.”

The latest report that India is assessing whether to ban Huawei and ZTE will likely add to Pompeo’s confidence.

Washington’s efforts have yielded mixed results so far. Some countries such as Australia and Japan following suit, while others like U.K. allowing the Chinese giant limited participation in its 5G rollout. But it appears more countries and mobile carriers are beginning to shun Huawei — a sign that the U.S. campaign could be working.

Telus and BCE, two of the big carriers in Canada have chosen Ericsson and Nokia to build their 5G network. Canada’s government has yet to make a decision as to whether Huawei will be excluded from the nation’s 5G rollout.

Britain is also reassessing its stance on Huawei. The U.K.’s National Cyber Security Center (NCSC), which is part of intelligence agency GCHQ, launched an emergency review of Huawei’s role in May, following new U.S. sanctions on the firm.
 
China wanapimana nguvu na US lakin wataumia, ni kweli wako vema sana kiuchumi lakin bado sana sikio kulishinda kichwa..lwo hii china akaanza kampen ya kuwekea Apple vikwazo unahisi ni nan atamsikiliza. Kwa sasa mataifa zaid ya 11 yashaachana na mpango wa Huwaei kwa sababu ya mkwara wa marekan
 
India hawajachukua uamuzi huo eti kwa sababu ya Marekani bali kutokana na tension iliyopo hivi sasa kati ya India na China, na hatimae India kuamua kutumia karata ile ile ya Donald Trump ingawaje wao wameenda mbali zaidi kufikia hadi kuzipiga ban baadhi ya Chinese Apps kama vile Tik tok na We Chat!
 
Kuna watu wakiambiwa USA/UK/Israel ndio utatu wenye nguvu duniani, huwa wanabisha,
Hao ndio "makaburu,wababe wa dunia hii,

Russia/China/Iran/North Korea/watasubili sana hii ni kambi isiyo na nguvu,
Kambi ya USA, wapo wengine wadogo kama Saudia, South Africa, India, Pakistan, Ulaya yote, Canada, Malaysia, South Korea, Scandinavia yote,
 
India hawajachukua uamuzi huo eti kwa sababu ya Marekani bali kutokana na tension iliyopo hivi sasa kati ya India na China, na hatimae India kuamua kutumia karata ile ile ya Donald Trump ingawaje wao wameenda mbali zaidi kufikia hadi kuzipiga ban baadhi ya Chinese Apps kama vile Tik tok na We Chat!
hii ni kweli, nilikuwa napitia pitia maoni ya wahindi katika forum moja hivi:, wengj wanapendekeza ku- Boycott bidhaa za china.
Nadhani huu ni mwanzo tu ikiwa hakutatumika njia nyingine ya kutatua msigano uliopo kwasasa.
 
Yaani Wahindi wamecharuka balaa huku wengine wakitaka India iingie ulingoni!

Kufuatia hali hiyo, Gazeti la Serikali ya China likakosa kabisa busara na kuamua kuchapicha takwimu zinazoonesha military na economic power kati ya India na China!!! Hapo Wahindi ikawa ndo kama wamemwagiwa petrol!
 
Huwawei ni simu nzuri sana, nashangaa sana kuona marekani analeta fitina.
Usishangae kwa sababu umeshasema Huawei ni simu mzuri sana unless kama ni sarcasm.

But all in all, sakata la China na US, in the long run ni China ndie atanufaika zaidi kwa sababu vikwazo vitamfanya azidishe kasi ya kutaka kujitegemea, na matokeo yake, some years later utakuta hata vile vifaa anavyotegemea avipate toka US, atakuwa anatengeneza mwenyewe!!

Angalia Iran kwa mfano! Ukiondoa Israel, sidhani kama kuna nchi Middle East inaifikia Iran kwa tech development! Vikwazo vimewasaidia sana Iran kutaka wajitegemee wenyewe, na matokeo yake, leo hii ukikatisha kwenye mitaa ya miji ya Iran, magari mengi utakayokutana nayo yanatengenezwa na wenyewe, na kwa haraka haraka kuna at least 5 car manufacturers!
 
Sawa... lakini ninauona ugumu wa kumtoa Huawei hapo alipo kwasasa..
ikiwa Huawei itayumba ama kufa kama Ztel basi china ni nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
There's no way Huawei inaweza kufa hususani kama kufa kwenyewe ni kwa kutokana na vikwazo vya Trump! Btw, Ztel ipi iliyokufa/yumba?! For what I know, Ztel ni kampuni iliyopo South Africa. Au unamaanisha ZTE?
 
ndiyo nilimaanisha hiyo..
(Ahsante kwa kunisahihisha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndiyo nilimaanisha hiyo..
(Ahsante kwa kunisahihisha)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndo yenyewe, pamoja na figisu figusu zote za US, ZTE is far from collapsing! Chukulia hadi mwisho wa 2019, ripoti yao ndo hii:-
ZTE.png

Of course, haitengenezi faida kubwa sana lakini hawajiendeshi kwa hasara kwa sababu hata faida wanatengeneza! Kama uonavyo hapo juu, by the end of 2019, Revenue ilikuwa 90.74 Billions Yuan, ambayo ni takribani USD 13 Billion!
 
China wanapimana nguvu na US lakin wataumia, ni kweli wako vema sana kiuchumi lakin bado sana sikio kulishinda kichwa..lwo hii china akaanza kampen ya kuwekea Apple vikwazo unahisi ni nan atamsikiliza. Kwa sasa mataifa zaid ya 11 yashaachana na mpango wa Huwaei kwa sababu ya mkwara wa marekan
Sasa hili linahusiaa vipi nakupimana nguvu kwa UCHINA na US mbna mnakurupuka

Hawa wapo na tension yao ndio inayo sababisha haya sio vikwazo vya US wala nini
 
Usishangae kwa sababu umeshasema Huawei ni simu mzuri sana unless kama ni sarcasm.

But all in all, sakata la China na US, in the long run ni China ndie atanufaika zaidi kwa sababu vikwazo vitamfanya azidishe kasi ya kutaka kujitegemea, na matokeo yake, some years later utakuta hata vile vifaa anavyotegemea avipate toka US, atakuwa anatengeneza mwenyewe!!

Angalia Iran kwa mfano! Ukiondoa Israel, sidhani kama kuna nchi Middle East inaifikia Iran kwa tech development! Vikwazo vimewasaidia sana Iran kutaka wajitegemee wenyewe, na matokeo yake, leo hii ukikatisha kwenye mitaa ya miji ya Iran, magari mengi utakayokutana nayo yanatengenezwa na wenyewe, na kwa haraka haraka kuna at least 5 car manufacturers!
Brand zao ni zipi?! Wana export gari zao?!
 
Yaani Wahindi wamecharuka balaa huku wengine wakitaka India iingie ulingoni!

Kufuatia hali hiyo, Gazeti la Serikali ya China likakosa kabisa busara na kuamua kuchapicha takwimu zinazoonesha military na economic power kati ya India na China!!! Hapo Wahindi ikawa ndo kama wamemwagiwa petrol!
Hawawezi pigana sababu wote Wana nuclear. Ingawa wahuni wa Dunia Wanaweza chomea utambi ili ndoto yao ya kupunguza watu Duniani itimie haraka si wajua China +India = nearly 3 billion people. Imagine wakichapana tutapunguza watu wangapi duniani
 
Brand zao ni zipi?! Wana export gari zao?!
Taarifa hii ya UNESCO ya mwaka 2016 bila shaka itajibu maswali yako:-
After oil and gas, the automotive industry is Iran’s biggest, accounting for about 10% of GDP and employing about 4% of the labour force. There was a boom in local car manufacturing between 2000 and 2013, driven by high import duties and a growing middle class. The imposition of fresh sanctions in July 2013 prevented Iranian companies from importing the vehicle parts upon which domestic cars rely, causing Iran to cede its place to Turkey as the region’s top vehicle manufacturer.

Traditional export markets for Iranian automobiles include Algeria, Azerbaijan, Cameroon, Ghana, Egypt, Iraq, Pakistan, Senegal, Syria, Sudan and Venezuela. The sanctions imposed in 2013 hit automobile exports particularly hard, which had doubled to about 50 000 cars between 2011 and 2012.

The Iranian car market is dominated by Iran Khodro (IKCO) and SAIPA, which are subsidiaries of the state-owned Industrial Development and Renovation Organization. IKCO was founded in 1962 and SAIPA in 1966. Both companies assemble European and Asian cars under license, as well as their own brands. IKCO is the biggest car manufacturer in the Middle East. In 2012, it announced plans to reinvest at least 3% of company sales revenue in R&D.
Hao IKCO moja ya magari yao ni IKCO Dena ambayo inatumia modified Peugeot Engine (under license)

Hiyo kampuni ya Saipa, moja ya magari yake ya karibuni ni Shahin:-

Kuna utata kidogo kuhusu Shahin! Wakati wenyewe wanasema wameitengeneza from their own platform baadhi ya watu hawataki!! All in all, lililo wazi ni kwamba, kuna baadhi ya magari wanayatengeneza wenyewe lakini kuna mengine wanatengeneza under the license.

Aidha, hao IKCO wana subsidiary company inayoitwa ICKO Diesel ambao wana-manufucture magari makubwa kv mabasi na malori lakini ilikuwa under license of Mercedes.

Nimesema ilikuwa coz' baada ya Trump kuwapiga pin Iran, Mercedes walitangaza ku-backoff, na ndipo Iran mwanzoni mwa mwaka huu wakazindua kiwanda chao cha kutengeneza malori though inasemwa some parts zinatengenezwa na kampuni ya
Iran Diesel Engine Manufacturing under license of Mercedes Benz
Truck.png

Kuna hata army transporters, zingine wanatengeneza wenyewe ndani ya Iran though am not sure under license ya nani. Hapa chini ni Kian 700 Army Transporter"-
Kian 700-1.png

Wanazo pia Kian 500.

Na tunaposema under license kwa Iran sio kwamba wanachukuwa kila kitu! Mara nyingi huwa wanafanyia modification baddhi ya key parts kama vile engine. Sometimes wanatumia kama ilivyo kukidhi mahitaji fulani. Kwa mfano, Dena hapo juu, kuna zingine zinatumia modified engines na zingine zinatumia Peuogot Engines kwa ajili ya soko la Ulaya.

Kuna hizi armored vehicles hapa chini; wanadai 100% made by local experts...

Na tusisahau, Iran huwa wanafanya hadi reverse engineering!
 
Usishangae kwa sababu umeshasema Huawei ni simu mzuri sana unless kama ni sarcasm.

But all in all, sakata la China na US, in the long run ni China ndie atanufaika zaidi kwa sababu vikwazo vitamfanya azidishe kasi ya kutaka kujitegemea, na matokeo yake, some years later utakuta hata vile vifaa anavyotegemea avipate toka US, atakuwa anatengeneza mwenyewe!!

Angalia Iran kwa mfano! Ukiondoa Israel, sidhani kama kuna nchi Middle East inaifikia Iran kwa tech development! Vikwazo vimewasaidia sana Iran kutaka wajitegemee wenyewe, na matokeo yake, leo hii ukikatisha kwenye mitaa ya miji ya Iran, magari mengi utakayokutana nayo yanatengenezwa na wenyewe, na kwa haraka haraka kuna at least 5 car manufacturers!
Mkuu tatizo sio kutengeneza. Hapa kiini cha tatizo sio kutengeneza. Kiini ni teknolojia ya kutengeneza hicho kitu.

Kama ni kutengeneza mbona karibu vitu vingi vinatengenezwa China.

Teknolojia ya kutengeneza simu kwa mfano Marekani imewachukua miaka zaidi ya 50 kufikia hapo walipo. Je China itabidi aingie kwenye utafiti aje na teknolojia yake mpya ya simu kwa miaka mingi?

Marekani anachombinya China ni kutumia teknolojia yake tu. Yeye atafte ya kwake. Hiyo ya kwake China ataipata lini?
 
Back
Top Bottom