Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Sawa... lakini ninauona ugumu wa kumtoa Huawei hapo alipo kwasasa..
ikiwa Huawei itayumba ama kufa kama Ztel basi china ni nyepesi.
Soko la china pekee linamtosha Huawei hata kama nchi zingine zitafuata upuuzi na wivu wa marekani wa kutaka yy tu ndo awe juu, alimletea mchina corona ili aweze destabilize uchumi wa mchina lakini matokeo yake yy ndo ameathirika zaid, trump alikua na taarifa kuhusu corona tangia early 2019 lakini alikaa kimya kwa sababu ya mission ya siri.
 
Wabongo wanajifanya wanajua kuliko US and China Gov
 
Bajeti ya USA ni mara tatu ya bajeti ya China..ivyo awa macho madogo watulie ..kushindana na marekani nu kujitafutia matatizo ya kudumu na wananchi wake..
 
Taarifa hii ya UNESCO ya mwaka 2016 bila shaka itajibu maswali yako:-
Hao IKCO moja ya magari yao ni IKCO Dena ambayo inatumia modified Peugeot Engine (under license)



Hiyo kampuni ya Saipa, moja ya magari yake ya karibuni ni Shahin:-



Kuna utata kidogo kuhusu Shahin! Wakati wenyewe wanasema wameitengeneza from their own platform baadhi ya watu hawataki!! All in all, lililo wazi ni kwamba, kuna baadhi ya magari wanayatengeneza wenyewe lakini kuna mengine wanatengeneza under the license.

Aidha, hao IKCO wana subsidiary company inayoitwa ICKO Diesel ambao wana-manufucture magari makubwa kv mabasi na malori lakini ilikuwa under license of Mercedes.

Nimesema ilikuwa coz' baada ya Trump kuwapiga pin Iran, Mercedes walitangaza ku-backoff, na ndipo Iran mwanzoni mwa mwaka huu wakazindua kiwanda chao cha kutengeneza malori though inasemwa some parts zinatengenezwa na kampuni ya
Iran Diesel Engine Manufacturing under license of Mercedes Benz
Kuna hata army transporters, zingine wanatengeneza wenyewe ndani ya Iran though am not sure under license ya nani. Hapa chini ni Kian 700 Army Transporter"-
View attachment 1494282

Wanazo pia Kian 500.

Na tunaposema under license kwa Iran sio kwamba wanachukuwa kila kitu! Mara nyingi huwa wanafanyia modification baddhi ya key parts kama vile engine. Sometimes wanatumia kama ilivyo kukidhi mahitaji fulani. Kwa mfano, Dena hapo juu, kuna zingine zinatumia modified engines na zingine zinatumia Peuogot Engines kwa ajili ya soko la Ulaya.

Kuna hizi armored vehicles hapa chini; wanadai 100% made by local experts...



Na tusisahau, Iran huwa wanafanya hadi reverse engineering!
Wewe Chige acha ubishi izo gari zinaungwa tu apo Iran azitengenezwi apo
 
India hawajachukua uamuzi huo eti kwa sababu ya Marekani bali kutokana na tension iliyopo hivi sasa kati ya India na China, na hatimae India kuamua kutumia karata ile ile ya Donald Trump ingawaje wao wameenda mbali zaidi kufikia hadi kuzipiga ban baadhi ya Chinese Apps kama vile Tik tok na We Chat!
Sio India, China anamigogoro ya mpaka na nchi nyingi Kama Russia, Vietnam, malysia, Indonesia, na phillipines, na hao wote wana-asilimia kubwa ya kukataa kutumia huawei
 
Teknolojia ipi ambayo Marekani anayo peke yake kiasi kwamba kunaweza kuifanya Huawei ipotee kutokana na vikwazo?!

Isitoshe Huawei anacho-rely sana kutoka US ni component parts.

Na wala sio kwamba kila component anayoagiza US haipatikani sehemu nyingine yoyote duniani... hello no! Na wala sio kwamba kampuni za China hazina uwezo KABISA wa kutengeneza hizo components; hell no!!

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana nikasema, in the long run, China ndie atafaidika! Ndie atafaidika kwa sababu zile kampuni za Kichina ambazo zilikuwa haziwezi kushindana na kampuni za US, hatimae zitapata platform!

Ukanda ule ule wa China, kuna SMIC na Unison ambazo zipo mainland China, na kuna MediaTek iliyopo Taiwani. Huawei wenyewe wanayo HiSilicon.

Na Huawei ni kama flagship ya China, nchi ambayo ipo very supportive kwa tech companies za Kichina. Kwa maana nyingine, serikali ya China inaweza kufanya lolote wawezalo kuhakikisha Chinese Tech Firms zinakuwa fully independent in the long run!

Halafu unahoji China hiyo technology yao wenyewe wataipata lini?! Hivi watu China mnaichukuliaje?! Hivi unadhani ile technlogy espionage aliyokuwa anafanya walikuwa wanatangaza dini?

Hivi una habari China wame-invest sana kwenye R&D?! Four years ago, The New York Time waliandika:-Na hiyo 4 years ago ilikuwa bado kabisa kukubwa na sakata lililopo hivi sasa! Umeshawahi kujiuliza ni nguvu kiasi gani inatumika hivi sasa kuhakikisha wanakuwa independent kupitia kile ambacho Xi Ping amekuwa akikiita "Self-Innovation Independence"!

China na wenyewe wana ile the so called Silicon Valley of China! Miaka ya nyuma hapo Silicon Valley, ilikuwa full copy and paste! Hivi sasa unaambiwa ukionekana ume-copy technology mahali, unapigwa chini!

Na amini usiamini, ikitokea Trump akarudi madarakani kisha akaendelea kukaza tena kwenye miaka yake 4 ijayo, rais ajae hata akiamua kuondoa vikwazo ili hatimae US Firms waanze kufanya biashara na Huawei, itakuwa almost TOO LATE kwa sababu ama watakuwa wameshapata supplier mwingine, au wameshajitoleza from home-produced component parts.

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana, Bloomberg, kutoka huko huko USA waliandika:-
Na anachofanya Trump ni kutengeneza lenye makali huku na huku... upande mmoja anadhani anaikomoa China lakini upande wa pili linaiumiza Marekani yenyewe!

Kwa mfano, kampuni zilizokuwa zina-supply semiconductors chipsets zitakuwa zimepoteza kiasi gani kukosa soko kubwa kama Huawei?

Na ujinga zaidi, anaipiga ban Huawei, kwa upande mwingine Xiaomi ambao nao ni Wachina wanakuja kushika nafasi ya Huawei kwenye global smartphone market!!
Acha upotoshaji chipset bado ni tatizo kwa wachina, Kama ilivyo injini za magari, unatakiwa uwe na teknologia ya juu sana ili uweze kuimasta na kutengeneza chipset

Yaan uwe na uwezo wa kutengeneza kifaa alafu ukiagize kweli Ina make sense
 
Soko la china pekee linamtosha Huawei hata kama nchi zingine zitafuata upuuzi na wivu wa marekani wa kutaka yy tu ndo awe juu, alimletea mchina corona ili aweze destabilize uchumi wa mchina lakini matokeo yake yy ndo ameathirika zaid, trump alikua na taarifa kuhusu corona tangia early 2019 lakini alikaa kimya kwa sababu ya mission ya siri.
Ilo la KORONA kuwa kazi ya Marekani umelitoa wapi?.
Alafu kwanini wachina wenyewe hawatoi dai ilo, ila sisi tuliopo uku kwapani mwa Dunia ndo tunashadadia sana dai ili?

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Ilo la KORONA kuwa kazi ya Marekani umelitoa wapi?.
Alafu kwanini wachina wenyewe hawatoi dai ilo, ila sisi tuliopo uku kwapani mwa Dunia ndo tunashadadia sana dai ili?

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app

FYI, COVID-19 ilikuwa import na wanajeshi wa USA walio tembelea China kushiriki kwenye michezo ya kijeshi huko Wuhan China, cha ajabu wanajeshi wa Merikani hawakushinda medali hata moja, badala yake wakati wa mapumziko walikua wanaonekana wana wander aimlessly kweye Soko kubwa la vyakula/samaki na nyama la mji wa Wuhan, michezo ya kijeshi yalifanyika mwaka jana(2019)Oct/Nov katika mji huo huo wa Wuhan, sasa kitu gani kilikumba mji wa Wuhan mwezi mmoja baada ya wanajeshi hao kurudi kwao Merikani? Wakazi wa mji huo wakakumbwa na ugonjwa wa COVID-19 ambao wanasayasi wa kichina ndio walifanya kazi kubwa kubaini gnome make* up yake na jinsi unavyo ambukiza na kusambazwa - taarifa hizi wakapewa WHO na kutahadhalisha Dunia, vile vile Wachina walitoa taarifa hizo kwa wana*sayansi wenzao kwenye Vyuo Vikuu mbali mbali vya tiba Duniani.

Sasa nini kulikuja gundulika baadae kabisa, wanasayansi wa huko Marekani wakakumbuka mwaka mmoja hivi kabla baadhi ya majimbo ya huko Merikani yalikumbwa na kile walicho kiita mafua makali (sever influenza)lakini dalili zake na vifo vilifanana sana na COVID-19, hivyo wakakata shauri kuchunguza tena kwa kina baadhi ya mabaki ya miili ya Wamerikani walio kufa kwa ugonjwa wa *“sever influeza” mwaka mmoja kabla ya COVID-19 kuikumba Dunia, *unajuwa wanasayansi wa huko Merikani waligunduwa nini?Kumbe wagonjwa hao walifariki kutokana na COVID-19 na sio “sever influenza ” wala sijui nini? Tangu Ti-Xing-Ping awabane Trump na Pompeo na ukweli huo baada ya kuchoshwa na uzushi wao wa kuisingizia China - siku hizi Trump political rhetoric zake za kuihusisha China na ugonjwa wa korona zimekoma, ndio maana hata viongozi wengi Duniani hawaungi mkono madai ya Trump na wapambe wake kuhusu China na korona type COVID-19.
 
Hahaaa China kama mizimu yaani .... Imagine figisu zote hizo but still huawei anaendelea kuongoza usukani wa mauzo duniani ...duhh jamaa wana mikakati adhimu sana ya kibiashara
Kuna ulazima wa jiwe kwenda semina elekez labda na sisi tutashain
 
Israel ni ya kwanza acha upotoshaji aangaia tech entrepreneur wengi wao ni Jews, mfano Larry page, Sergey brin, Zuckerberg, jamaa wa WhatsApp na wengine wengi
😀😆 mkuu nadhani hujaelewa kilichoongelewa. Hawaongelei watu wa asili ipi wana uwezo wa innovation kuliko wengine, yanaongelewa mataifa kama yalivo hivi sasa
 
Back
Top Bottom