Ni kweli mkuu, Wachina walio soma vyuo vikuu vya kiufundi Marekani na Ulaya na wakarudi Uchina baada ya kuhitimu shahada zao ndiyo walio iwezesha China kupiga hatua kubwa katika masuala ya sayansi na teknolojia pamoja na uchumi wa China kushika namba mbili Duniani nyuma ya USA, wala hilo alishangazi hata kidogo kwa kuwa Oriental race(Chinese,Japanese,
Koreans) ndio wanaongoza Duniani kuwa ni binadamu wenye IQ kubwa kuliko binadamu wengine, hilo limekuwa proven scientifically i.e halina ubishi, hilo limechangia sana far east kuwa na maendeleo makubwa ya kisayansi na kiteknolojia pamoja na uchumi kuwa mkubwa ndani ya muda mfupi sana, African Nations gotta lot to learn from them Orientals, honestly.
Nionavyo mimi ndani ya miaka kumi China ndiyo itakuwa inaongoza kiuchumi Duniani, licha ya USA kuiwekea kauzibe China ili hisiwazidi, they shall overcome eventually - my opinion.