Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu. joka ni shetani, mnyama ni mamlaka ya kidini yanayopotosha Neno la Mungu, hapa ushahidi wa Maandiko unaonyesha ni upapa mamlaka iliyokuwa ya kidini na kiserikali mara tu baada ya rumi. Na Nabii wa Uongo ni wote wale wanaojidai ni Wakristo lakini hawataki kufuata mapenzi ya Mungu.Mkuu uzi wako umejikita kwenye unabii hasa unabii wa ufunuo some how na unabii wa Daniel kdogo....sasa nilhtaji uniweke sawa hzo roho tatu za uchafu ni zip katika uhalisia wake? Mf tunajua joka ni shetani...twende mkuu
Haya leta hoja nyingine.