kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Kwanini usiziweke hapa kwanini uegemee upande mmoja na kutoa hukumu wakati hata wewe hujui kitu? Maana hujaweka ushahidi zaidi ya kuweka nukuu zenye tafsiri nyingiBiblia imetaja sifa, mojawapo ni kujifananisha na Mungu. Biblia inasema wenye hekima watamtambua huyu mnyama. Mwombe Mungu akupe hekima ukisoma tena Ufunuo 13;17,18 utamtambua maana sifa zake zimetajwa.