Sawa mkuu. joka ni shetani, mnyama ni mamlaka ya kidini yanayopotosha Neno la Mungu, hapa ushahidi wa Maandiko unaonyesha ni upapa mamlaka iliyokuwa ya kidini na kiserikali mara tu baada ya rumi. Na Nabii wa Uongo ni wote wale wanaojidai ni Wakristo lakini hawataki kufuata mapenzi ya Mungu.Mkuu uzi wako umejikita kwenye unabii hasa unabii wa ufunuo some how na unabii wa Daniel kdogo....sasa nilhtaji uniweke sawa hzo roho tatu za uchafu ni zip katika uhalisia wake? Mf tunajua joka ni shetani...twende mkuu
Mkuu mwenzio amekataa kugoogle au hujamwelewa?mkuu usishangae wala kuteseka sana kuhusu historia ya mleta mada
cha kufanya we tafuta website na links za madhehebu ya kiadventista kama SDA nakadhalika......
au google restorated church of god (KANISA LA MUNGU REJESHWA) huko utayakuta mambo kama hayo mengi tu.......
soma vizuri post yake Jindal Singh wewe ndo HUJAMUELEWA KABISA ALICHOULIZAMkuu mwenzio amekataa kugoogle au hujamwelewa?
na akamalizia kwa aya maneno hapa chiniMbona umesahau kuitaja Ottoman Caliphate iliyokuwa imedominate hadi baadhi ya mataifa ya Ulaya ikiwemo spain enzi hizo ikiitwa Andalus
mimi nimemuelewa na nikamuelekeza mnakotoa hizo tabiri na hayo mafundisho yenu kazi yake ni kutafuta source tu mimi ninazo baadhiWewe umesoma kweli historia au unaperuzi kwa simu. Humu hatuwataki watu wa kugoogle.
Umeshaharibu vyote ulivyoviandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]Sawa mkuu. joka ni shetani, mnyama ni mamlaka ya kidini yanayopotosha Neno la Mungu, hapa ushahidi wa Maandiko unaonyesha ni upapa mamlaka iliyokuwa ya kidini na kiserikali mara tu baada ya rumi. Na Nabii wa Uongo ni wote wale wanaojidai ni Wakristo lakini hawataki kufuata mapenzi ya Mungu.
Haya leta hoja nyingine.
Hiyo source itumie kwa faida yako. Nashukuru kwa kuniongezea source hiyo nilikuwa siijuisoma vizuri post yake Jindal Singh wewe ndo HUJAMUELEWA KABISA ALICHOULIZA
kiufupi kauliza ivi
na akamalizia kwa aya maneno hapa chini
mimi nimemuelewa na nikamuelekeza mnakotoa hizo tabiri na hayo mafundisho yenu kazi yake ni kutafuta source tu mimi ninazo baadhi
najua i karibu lakini sio kwa kiasi uaminicho maana kungali kuna mambo mengi bado kutimia ndugu..Ipo karibu sana ndugu yangu, jiandae ukiwa na Yesu kamwe haitakutisha.
Ndo ufunuo umesema hivyo au ni tafsiri ya yule mama yenuNimeharibu nini sasa ya kuwa mnyama ni Papa wa Roman Catholic? Huo ndio ukweli soma vizuri Ufunuo 13.
Mijitu mingine mnaboa sana badala ya kumpongeza mpeta uzi wewe unaleta uhalo wako humu shame on youMbona umesahau kuitaja Ottoman Caliphate iliyokuwa imedominate hadi baadhi ya mataifa ya Ulaya ikiwemo spain enzi hizo ikiitwa Andalus., Wewe umesoma kweli historia au unaperuzi kwa simu. Humu hatuwataki watu wa kugoogle.
Papa ni argent wa Ibilisi kwa 100% hapo no doubtNimeharibu nini sasa ya kuwa mnyama ni Papa wa Roman Catholic? Huo ndio ukweli soma vizuri Ufunuo 13.
Mateso yepi watapata wateule mkuu? Unamaanisha wale watakao kataa kupigwa chapa ya 666??najua i karibu lakini sio kwa kiasi uaminicho maana kungali kuna mambo mengi bado kutimia ndugu..
na kiukweli siogopi hiyo vita bali yatakayo wapata wateule wa Mungu ndio ya kuogofya kupita maelezo..
Kuna sehemu imetaja upapa au unahisi mkuuNi ufunuo 13 na Daniel 7 kasome vizuri
Biblia imetaja sifa, mojawapo ni kujifananisha na Mungu. Biblia inasema wenye hekima watamtambua huyu mnyama. Mwombe Mungu akupe hekima ukisoma tena Ufunuo 13;17,18 utamtambua maana sifa zake zimetajwa.Kuna sehemu imetaja upapa au unahisi mkuu