Biblia imetaja sifa, mojawapo ni kujifananisha na Mungu. Biblia inasema wenye hekima watamtambua huyu mnyama. Mwombe Mungu akupe hekima ukisoma tena Ufunuo 13;17,18 utamtambua maana sifa zake zimetajwa.
Kwanini usiziweke hapa kwanini uegemee upande mmoja na kutoa hukumu wakati hata wewe hujui kitu? Maana hujaweka ushahidi zaidi ya kuweka nukuu zenye tafsiri nyingi