Baada ya vita ya Ukraine, Nchi za Afrika zinatakiwa kupata Mateso Makali ya Kiuchumi kutoka kwa EU & USA

Marekani imeshapoteza ushawishi duniani na hawana la kufanya.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Russia ana pesa gani za kutoa misaada ili hali nchi yake ina watu ni masikini kama huku kwetu. Bado hapo ana vikwazo vya kufa mtu.
Bwana Super Don, Russia tuna ambiwa ni Super Power.

Character ya Super Power ni kuwa na uwezo kwa kila kitu.
 
Kuwa primitive hakutufanyi kuvamiwa sijui kama unaelewa point yangu hapa. Wewe unaongelea kuvamiwa Kwa Ukraine na warusi basi kama ni hivyo Urusi inahaki ya Kuivamia Ukraine kwasababu hata Ukraine Bado ni primitive sana ukilinganisha na Utajiri Nchi Yao ilionao. Mbona kama unaanza Kua mnafki wakati unapinga unafki
 
Mimi sina unafiki mimi naiunga mkono Ukraine na washirika wake wote, Nyuzi zangu zote hapa JF zinajionyesha kabisa.

Kwa sasa ukoloni hauna nafasi tena duniani, kwahiyo Russia hana uhalali wowote wa kuvamia Ukraine na kuikalia kimabavu.

Ukraine ni nchi huru na hajawahi kuvamia nchi yeyote. Kwahiyo uhuru wake unatakiwa uheshimiwe.
 
Ndio watu tulionao mkuu, inabd tu aeleweshwe taratibu.
Utapoteza nguvu zako bure,mi nimekula Kona!
Mjadala unapaswa uwe wa kupeana maarifa,Sasa unakuta mtu tayari ana la Kwake kichwani na hata unapompa facts anadivert kwenye hoja na kuishia kutoa majibu ya rasharasha,ni kupoteza muda tu!
 
Nchi za Afrika zitatumia point yake ya pili kujikwamua zenyewe kama kweli sisi Africa ndo tunawafanya EU wawe hapo walipo, zikishindwa zitaelekea kwa Putin & China, lakini unafiki ukomeshwe.
Uliwahi kusikia mashirika ya kimaendeleo ya Russia au China, ebu tuambie zinaitwaje. Hizo ni nchi za wachoji tu hazina lolote.
 
Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.

Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.
Tungeanzia hapa kwanza ningeona wa maana
 
Utapoteza nguvu zako bure,mi nimekula Kona!
Mjadala unapaswa uwe wa kupeana maarifa,Sasa unakuta mtu tayari ana la Kwake kichwani na hata unapompa facts anadivert kwenye hoja na kuishia kutoa majibu ya rasharasha,ni kupoteza muda tu!
Bwana Bome-e samahani sana kama nimekukwaza mimi sipendi kuandika insha, Majibu yangu waga ni mafupi sana.
 
Bwana Bome-e samahani sana kama nimekukwaza mimi sipendi kuandika insha, Majibu yangu waga ni mafupi sana.
Nilishamalizana na wewe mkuu! Majibu yanaweza kuwa mafupi ila yenye mantiki! Lakini kama ni mafupi na ya kejeli/ dhihaka/ mzaha basi sio afya!
 
Uliwahi kusikia mashirika ya kimaendeleo ya Russia au China, ebu tuambie zinaitwaje. Hizo ni nchi za wachoji tu hazina lolote.
Russia Super Power la kibisa litashindwa mambo madogo hayo.
 
Dua la kuku
 
UKRAINE si anashinda hiyo mnayoiita VITA sasa kelele za nini

Wajitoe hata sasa kwanza watatufanya waafrika tujitambue natuzidi kujitegemea
Moja yasababu ya AFRIKA kua hvyo ilivyo ni huo upuuzi wakuona munasaidiwa kumbe mnazuiwa kuendelea
RUSSIA anatakiwa aendelee kuwasaga saga UKRO NATO

Kama akiwa na BUSARA zaidi anatakiwa atumie hata NYUKLIA kama ile ya NAGASAKI na HIROSHIMA ili akili ziwakae sawa UKRO NATO

RUSSIA taifa teule inatakiwa liombewe sana ili opareshen yake izidi kuendelea kama inavyoenda

UKRO NATO mnaanza kupiga kelele mapema yote hii
Bado kaeni kwakutulia TAIFÃ teule la RUSSIA lipo tayari hata miaka 100 ama zaidi kuisaga saga UKRO NATO pole pole mpaka muingie akili

UKRO NATO waondoe mataasisi yao yakipuuzi watuache tufe kama wao ndio wanatueka DUNIANI
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKRAINÉ inafadhili MAGAIDI kwahio acha iadabishwe

Siku UKRAINE itapoachana namradi wake tata wakufadhili MAGAIDI itaachwa ijiendeshe yenyewe

Kwasasa njia pekee yakuifanya UKRAINE ikae sawa ni MVUA ya MABOMU tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…