lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Da ila pro Russia mna akili!!Sasa unahubiri Nini hapo?Huoni kuwa unajichanganya?Tumia akili Yako vema!
Unapinga udikteta halafu unashauri hatua Kali zichukuliwe dhidi ya nchi ambazo zilitumia haki Yao kidemokrasia kupiga kura kwenye Baraza la umoja wa mataifa!Kama kura zilipaswa kuwa za aina Moja,msingi wa kura ni Nini?Yaani unipe karatasi nipige kura nitakavyo halafu baadaye uje uniwajibishe Kwa aina ya kura nitakayopiga?Una akili kweli?Si ndio udikteta Huo huo unaojaribu kuukemea?
Tumia Kichwa chako vizuri,Kichwa sio Kwa ajili ya kubebwa macho na masikio Yako tu!
Umelewa?Hakuna haki yeyote, mtu anavamia nchi ya watu analipuwa na Kupiga Mabomu alafu mtu anaona ana haki ya kufanya hivyo, hicho kitu hakipo ni lazima wale wote wanaomuunga mkono Putin wawajibishwe .
Hatuwezi kuendelea kulea udikteita, dunia inahitaji Demokrasia.
ššš Nakufurahia mkuu kwa kuleta utofauti wa mawazo ila NAPINGANA na mawazo yako kwa kuwa kwanza Putin si dikteta,kapita kwa kura na anaendesha kwa kufuata sheria na utaposema anazikiuka baadhi basi hata Trump did na hakuwa diktetaVita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.
Nchi za Afrika zikiongozwa na Senegal, Afrika kusini, Mali, Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Nigeria, zinatakiwa kukatiwa misaada yote ya kiuchumi kuanzia elimu, afya, miundombinu, kupambana na Ugaidi, Njaa, ulinzi ili zitie adabu na iwe fundisho kwa watu wote Wanaosapoti madikteita duniani.
IMF & WB zinatakiwa kupunguza mikopo kabisa kwa nchi za Afrika ili zijitegemee au zikakopeshwe na Bank of Russia na China.
Misaada ya Vifaa tiba, madawa, teknolojia na mingineyo ya taasisi mabali mbali (USAIDS, ICAP, MDH , WORLD VISION, TASAF n.k) za kupambana na magonjwa hatari kama ukimwi, cancer, kisukari, pressure, ini, figo, Malaria inatakiwa kupunguzwa ili nchi za Afrika zipate akili.
Nchi zote zilizo piga kura ya hapana kwa Urusi, zinatakiwa kukatiwa misaada yote moja kwa moja ili zikafadhiliwe na Urusi.
Nchi zote ambazo hazikupiga kura zikiongozwa na Tanzania, zinapaswa kupunguziwa misaada kwani kutopiga kura ni kuogopa na ina maanisha wanakubaliana na Putin anachokifanya Ukraine.
Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.
Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.
Wakimbizi wote kutoka Afrika kwenda Ulaya wawekewe sheria kali za kuwazuia kuvuka kwenda Ulaya kuliko na maisha mazuri, wabaki Afrika, wawe wakimbizi kwenye nchi za bara lao.
Rais Ramaphosa, Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Rais wa Cameroon, Rais wa Senegal, Rais wa Nigeria hawatakiwi kuendelea kubaki madarakani kwa sababu wanamuunga mkono Putin.
USA & EU zinatakiwa kukata kabisa misaada kwenye nchi za Kiislamu zote duniani, kwani nchi hizo zinamuunga mkono Putin na zinajinasibu kuwa na utajiri wa mafuta, Putin atazipatia misaada.
Baada ya hatua hizi kuchukuliwa nchi zote zinazosapoti udikteita zitakuwa zimepata somo.
Bara la Afrika linatakiwa liendelee kubaki kwenye lindi la umasikini kwa sababu viongozi wa nchi za Afrika ni wanafiki na waliowengi wanapenda udikteita na hawako tayari kuleta mageuzi ya haki kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.
View attachment 2270692
Naunga mkono maoni.Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.

Jamaa ana hoja ya msingi.Umeongea ukweli mkuu hawa omba omba lazima waonje joto la jiwe
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kesho andamaneni kushinikiza hiloHaya manchi ya kinafiki ni ya kuyapiga spana Tu ,it's not accidental hizi nchi ni mashitholes mpaka leo . Majitu yanapata aids na handout zinazo contribute 70percent ya annual budget zao halafu yanatetea ujinga .Ni kuyapa trade imbargo na sanctions Tu yafe njaa
Unateseka kuliko hao wanaktoa misaada!!!Haya manchi ya kinafiki ni ya kuyapiga spana Tu ,it's not accidental hizi nchi ni mashitholes mpaka leo . Majitu yanapata aids na handout zinazo contribute 70percent ya annual budget zao halafu yanatetea ujinga .Ni kuyapa trade imbargo na sanctions Tu yafe njaa
Mawazo ya kimasikini kabisa,unaweza kukuta hata Donor mwenyewe hata wazo kama Hilo hata hana kichwani Kwake!Ila Pro wa bongo ndiye anakomaa anyimwe misaada na apigwe sanctions Ili watu weusi wenzake waathirike,what a shame!Umeongea ukweli mkuu hawa omba omba lazima waonje joto la jiwe
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ila kweli aisee,Pro NATO wa bongo wanahamishia hasira za kuchapika Ukraine Kwa Africaš¤£Ohh pole boss naomba TU niseme Kwamba Ukraine itaendelea kuchapwa Kama TU itaendekeza ubishi wake kwa kusukumwasukumwa na US.
Waafrika kuunga au kutounga mkono Jambo Hilo hakuzuii kichapo kutolewa