Baada ya vita ya Ukraine, Nchi za Afrika zinatakiwa kupata Mateso Makali ya Kiuchumi kutoka kwa EU & USA

Sasa unahubiri Nini hapo?Huoni kuwa unajichanganya?Tumia akili Yako vema!
Unapinga udikteta halafu unashauri hatua Kali zichukuliwe dhidi ya nchi ambazo zilitumia haki Yao kidemokrasia kupiga kura kwenye Baraza la umoja wa mataifa!Kama kura zilipaswa kuwa za aina Moja,msingi wa kura ni Nini?Yaani unipe karatasi nipige kura nitakavyo halafu baadaye uje uniwajibishe Kwa aina ya kura nitakayopiga?Una akili kweli?Si ndio udikteta Huo huo unaojaribu kuukemea?
Tumia Kichwa chako vizuri,Kichwa sio Kwa ajili ya kubebwa macho na masikio Yako tu!
Da ila pro Russia mna akili!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] last kick of dying horse. Una hasira sana mzee... Hivi kweli mtu na akili yako unaamini nchi inayopewa misaada ya silaha inaweza kuipiga nchi inayotengeneza silaha, seriously?
 
We jamaa jinga sana pesa zote zinazoibwa na viongozi was afrika huwa zinafichwa kwenye nchi za magharibi. Kwa akili yako ni bora viongozi wa afrika waibe pesa lakini wawaunge mkono NATO
 
Viongozi wa Afrika pamoja na kutoonesha kuwa upande, wapo Ulaya
 
Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.

Nchi za Afrika zikiongozwa na Senegal, Afrika kusini, Mali, Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Nigeria, zinatakiwa kukatiwa misaada yote ya kiuchumi kuanzia elimu, afya, miundombinu, kupambana na Ugaidi, Njaa, ulinzi ili zitie adabu na iwe fundisho kwa watu wote Wanaosapoti madikteita duniani.

IMF & WB zinatakiwa kupunguza mikopo kabisa kwa nchi za Afrika ili zijitegemee au zikakopeshwe na Bank of Russia na China.

Misaada ya Vifaa tiba, madawa, teknolojia na mingineyo ya taasisi mabali mbali (USAIDS, ICAP, MDH , WORLD VISION, TASAF n.k) za kupambana na magonjwa hatari kama ukimwi, cancer, kisukari, pressure, ini, figo, Malaria inatakiwa kupunguzwa ili nchi za Afrika zipate akili.

Nchi zote zilizo piga kura ya hapana kwa Urusi, zinatakiwa kukatiwa misaada yote moja kwa moja ili zikafadhiliwe na Urusi.

Nchi zote ambazo hazikupiga kura zikiongozwa na Tanzania, zinapaswa kupunguziwa misaada kwani kutopiga kura ni kuogopa na ina maanisha wanakubaliana na Putin anachokifanya Ukraine.

Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.

Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.

Wakimbizi wote kutoka Afrika kwenda Ulaya wawekewe sheria kali za kuwazuia kuvuka kwenda Ulaya kuliko na maisha mazuri, wabaki Afrika, wawe wakimbizi kwenye nchi za bara lao.

Rais Ramaphosa, Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Rais wa Cameroon, Rais wa Senegal, Rais wa Nigeria hawatakiwi kuendelea kubaki madarakani kwa sababu wanamuunga mkono Putin.

USA & EU zinatakiwa kukata kabisa misaada kwenye nchi za Kiislamu zote duniani, kwani nchi hizo zinamuunga mkono Putin na zinajinasibu kuwa na utajiri wa mafuta, Putin atazipatia misaada.

Baada ya hatua hizi kuchukuliwa nchi zote zinazosapoti udikteita zitakuwa zimepata somo.

Bara la Afrika linatakiwa liendelee kubaki kwenye lindi la umasikini kwa sababu viongozi wa nchi za Afrika ni wanafiki na waliowengi wanapenda udikteita na hawako tayari kuleta mageuzi ya haki kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.

View attachment 2270692
👏👏👏 Nakufurahia mkuu kwa kuleta utofauti wa mawazo ila NAPINGANA na mawazo yako kwa kuwa kwanza Putin si dikteta,kapita kwa kura na anaendesha kwa kufuata sheria na utaposema anazikiuka baadhi basi hata Trump did na hakuwa dikteta
2. Nchi hizo hizo unazozisemea za kimagharibi zinahimiza liberty,so kwann ss tusiexercise hyo liberty na kuchagua wapi tunapaunga mkono.
3. Kwanini now anapigwa ukraine ndio tulazimike kuchukua side?
4. Uliandika haya kipindi wamagharibi wanaivamia Libya kwamba waafrika tunatakiwa ona aibu mwenzetu anavamiwa hata tamko la kulaani hakuna?
5. Umeshaanza kujiassess na kugundua umejikabidhisha mikononi mwa wamagharibi na kuamini wanahaki ya kuvunja haki za wengne na wasiwajibishwe since wao wanatoa misaada?
Andiko lako linafikilisha sana mkuu.
 
Ohh pole boss naomba TU niseme Kwamba Ukraine itaendelea kuchapwa Kama TU itaendekeza ubishi wake kwa kusukumwasukumwa na US.
Waafrika kuunga au kutounga mkono Jambo Hilo hakuzuii kichapo kutolewa
 
Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.

Nchi za Afrika zikiongozwa na Senegal, Afrika kusini, Mali, Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Nigeria, zinatakiwa kukatiwa misaada yote ya kiuchumi kuanzia elimu, afya, miundombinu, kupambana na Ugaidi, Njaa, ulinzi ili zitie adabu na iwe fundisho kwa watu wote Wanaosapoti madikteita duniani.

IMF & WB zinatakiwa kupunguza mikopo kabisa kwa nchi za Afrika ili zijitegemee au zikakopeshwe na Bank of Russia na China.

Misaada ya Vifaa tiba, madawa, teknolojia na mingineyo ya taasisi mabali mbali (USAIDS, ICAP, MDH , WORLD VISION, TASAF n.k) za kupambana na magonjwa hatari kama ukimwi, cancer, kisukari, pressure, ini, figo, Malaria inatakiwa kupunguzwa ili nchi za Afrika zipate akili.

Nchi zote zilizo piga kura ya hapana kwa Urusi, zinatakiwa kukatiwa misaada yote moja kwa moja ili zikafadhiliwe na Urusi.

Nchi zote ambazo hazikupiga kura zikiongozwa na Tanzania, zinapaswa kupunguziwa misaada kwani kutopiga kura ni kuogopa na ina maanisha wanakubaliana na Putin anachokifanya Ukraine.

Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.

Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.

Wakimbizi wote kutoka Afrika kwenda Ulaya wawekewe sheria kali za kuwazuia kuvuka kwenda Ulaya kuliko na maisha mazuri, wabaki Afrika, wawe wakimbizi kwenye nchi za bara lao.

Rais Ramaphosa, Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Rais wa Cameroon, Rais wa Senegal, Rais wa Nigeria hawatakiwi kuendelea kubaki madarakani kwa sababu wanamuunga mkono Putin.

USA & EU zinatakiwa kukata kabisa misaada kwenye nchi za Kiislamu zote duniani, kwani nchi hizo zinamuunga mkono Putin na zinajinasibu kuwa na utajiri wa mafuta, Putin atazipatia misaada.

Baada ya hatua hizi kuchukuliwa nchi zote zinazosapoti udikteita zitakuwa zimepata somo.

Bara la Afrika linatakiwa liendelee kubaki kwenye lindi la umasikini kwa sababu viongozi wa nchi za Afrika ni wanafiki na waliowengi wanapenda udikteita na hawako tayari kuleta mageuzi ya haki kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.

View attachment 2270692
Naunga mkono maoni.
 
Haya manchi ya kinafiki ni ya kuyapiga spana Tu ,it's not accidental hizi nchi ni mashitholes mpaka leo . Majitu yanapata aids na handout zinazo contribute 70percent ya annual budget zao halafu yanatetea ujinga .Ni kuyapa trade imbargo na sanctions Tu yafe njaa
 
Hichi ulichoandika ni ndoto? seriously unadhani nani atatekeleza hili kwa kuandika JF?
Hii ndio wanaita maladaptive daydreaming.
 
Haya manchi ya kinafiki ni ya kuyapiga spana Tu ,it's not accidental hizi nchi ni mashitholes mpaka leo . Majitu yanapata aids na handout zinazo contribute 70percent ya annual budget zao halafu yanatetea ujinga .Ni kuyapa trade imbargo na sanctions Tu yafe njaa
Kesho andamaneni kushinikiza hilo
Ila UKRO NATO wataendelea kubananishwa na vifusi mpaka wanyooke haswaaaa
NATO si ipo waingie UKRAINE kuwasaidia UKRO NATO wasigeuzwe chakula ya udongo huko
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya manchi ya kinafiki ni ya kuyapiga spana Tu ,it's not accidental hizi nchi ni mashitholes mpaka leo . Majitu yanapata aids na handout zinazo contribute 70percent ya annual budget zao halafu yanatetea ujinga .Ni kuyapa trade imbargo na sanctions Tu yafe njaa
Unateseka kuliko hao wanaktoa misaada!!!
Unaweza kukuta wao hata Hilo wazo halimo kichwani mwao ila Sasa Pro wa humu JF ndio mnateseka!
 
Umeongea ukweli mkuu hawa omba omba lazima waonje joto la jiwe

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mawazo ya kimasikini kabisa,unaweza kukuta hata Donor mwenyewe hata wazo kama Hilo hata hana kichwani Kwake!Ila Pro wa bongo ndiye anakomaa anyimwe misaada na apigwe sanctions Ili watu weusi wenzake waathirike,what a shame!
 
Ohh pole boss naomba TU niseme Kwamba Ukraine itaendelea kuchapwa Kama TU itaendekeza ubishi wake kwa kusukumwasukumwa na US.
Waafrika kuunga au kutounga mkono Jambo Hilo hakuzuii kichapo kutolewa
Ila kweli aisee,Pro NATO wa bongo wanahamishia hasira za kuchapika Ukraine Kwa Africa🤣
 
Back
Top Bottom