Baada ya vita ya Ukraine, Nchi za Afrika zinatakiwa kupata Mateso Makali ya Kiuchumi kutoka kwa EU & USA

Hata maana ya demokrasia hujui.
 
Sawa na mikopo yao hatulipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi za Kiafrica hazipendi unafiki, wakati waafrica wenzako wanapewa last priority kupanda treni wakati vita ikianza Ukraine ulikua wapi?

Zelensky anakuja kutaka kuongea na viongozi wa Africa wakamsusia hao viongozi wa 4 waliohudhuria walikua hawajitambui yani mtu anakubagua mwanzoni alafu badae anakuja kutaka kuongea nini na wewe

Enzi za ukoloni waafrica wenye kupenda kujipendekeza kama wewe ndio mlikua mnauza waafrica wenzenu
 
Hichi ulichoandika ni ndoto? seriously unadhani nani atatekeleza hili kwa kuandika JF?
Hii ndio wanaita maladaptive daydreaming.
Huu ujumbe wangu wa kulaani unafiki wa nchi za Afrika, sijaandika Jf tu bali umetumwa pia kwa balozi wa EU.
 
Yapigwe spana, tena nzito kwl kwl.
 
No 2, tayari nchi za Afrika, zimeonyesha kutokuwa upande wa Ukraine, Kwhy ni pro Putin, kwhy tayari liberty unayoitaka watumie wametumia na kwa kuwa ni haki yao kufanya uhamuzi, ndiyo maana hata US & EU wana haki ya msingi ya kukata misaada yao, ili nchi za Afrika zianze kufadhiliwa na Urusi.

No 3. Ukraine ni mshirika mkubwa wa US & EU, kwahiyo ni lazima washirika wote wa US &EU duniani kote waungane kumsaidia.

No 4, Libya nililaani vikali Kuuawa kwa Gadaffi pamoja na ufadhili wake kwa magaidi ila sikufurahishwa kabisa na alichotendewa ila bahati mbaya sana wakati ule nilikuwa situmii Jf.

Nazani waafrika wote mnaomuunga mkono dikteita Putin, siku hayo mashirika na taasisi za magharibi zilizowaajiri na mnalipwa mamilioni ya hella, familia na ndugu zenu wanaishi vizuri, zikikata hiyo misaada mkarudi vijijini kushika jembe akili itawakaa sawa.

Unafiki haukubaliki.
 
Pamoja na hilo bado hata huko walikuwa wanaishi kwa misaada na ufadhili wa nchi za magharibi, waafrika wengi walikuwa masomoni nchini Ukraine tena kwa scholarships ambazo ni msaada kwa nchi za magharibi.


Taifa lolote indigenous people lazima wapewe priority, Nyinyi Watanzania kama mpo tayari kufa ili muharabu na muhindi wapone ilo ni tatizo kwenu, lakini kwa nchi zinazojielewa indigenous people kwanza, foreigners watafuata.

Kwhy hata kama wangekuwa Urusi, treatment kwao ingekuwa hivyo hivyo, tena kwa Putin kule wangebebwa na kutangulizwa mbele kwenye Vita.
 
Demokrasia ni nini Bwana Joseph1989
Mbona umefanunuliwa post ya 4 labda kama unakichwa kugumu cha kuelewa. Demokrasia ni kukubali kutokukubaliana ktk jicho la Demokrasia kila taifa lipo sawa kwa maamuzi yake.
 
Mawazo ya kimasikini kabisa,unaweza kukuta hata Donor mwenyewe hata wazo kama Hilo hata hana kichwani Kwake!Ila Pro wa bongo ndiye anakomaa anyimwe misaada na apigwe sanctions Ili watu weusi wenzake waathirike,what a shame!
Wewe ndio unamawazo ya kimasikini bado unalilia kusaidiwa unashindwa kujisaidia wenyewe .
Manchi ya kiafrika yamekaa kimalaya malaya ndio mana ayana misimamo mana yanaliwa kote kote

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tulia dawa ikuingie
 
Jamaa anamadini sana. Hawa kenge maji wamejaa unafiki Wakipata shida wanakimbiria nchi za magaribi awakimbiri urusi Sema wazungu sio watu wa vinyongo tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Andika vizur wewe mshirika wa NATO, kimbiria ni kimbilia, magaribi ni magharibi, kiufupi lazima watusaidie kwani nani aliwaambia waje watufanye watumwa huku?lazima wale chungu yao
 
Unaongea ukiwa umekula maharage mabichi na kiporo cha viazi pimbi wewe .Jitu lenyewe umezaliwa Kwa subsidies za USAID ,mama yako mwenyewe hakuwa na pesa za kujihudumia Afya ya uzazi , pumbaf
Kajambe ulale Kipwinto wewe kiarage cha bibi yako
 
Mbona umefanunuliwa post ya 4 labda kama unakichwa kugumu cha kuelewa. Demokrasia ni kukubali kutokukubaliana ktk jicho la Demokrasia kila taifa lipo sawa kwa maamuzi yake.
Hata kuzikatia misaada nchi za Afrika si Demokrasia inatumika au wewe unaonaje Bwana Joseph1989
 
Unaongea kama nani? Naimani hujui hata umuhimu wa SADC au ECOWAS endelea kusaini makaratasi ya mkopo huko
Kama mkereketwa wa Kitendo cha nchi za Afrika Kumuunga Mkono Putin wakati wakijua uchumi wa nchi zao unategemea misaada ya USA & EU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…