Baada ya vita ya Ukraine, Nchi za Afrika zinatakiwa kupata Mateso Makali ya Kiuchumi kutoka kwa EU & USA

Jamaa anamadini sana. Hawa kenge maji wamejaa unafiki Wakipata shida wanakimbiria nchi za magaribi awakimbiri urusi Sema wazungu sio watu wa vinyongo tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtu akishakuwa mshabiki umwambii kitu akakuelewa. Kwa sasa hapa JF mgogoro kila anayeshabikia upande fulani basi anataka muda wote aone habari zinazomfurahisha hapa Jf, tofauti na hapo ndo matusi hayo unayaona
 
Wakate kabisa haiwezekani wawe ndumila kuwili, sijawahi kuupenda unafiki, inatakiwa ujitambulishe ni black au white basi.
Wewe ndo mnafiki wa kwanza, bisha...? Kama unafanya masikhara sawa, ila kama ulichoandika kinatokana na tafakuri kwa kadiri ya (uwezo wako) ulionao!! Basi nikupe pole tu.
 
Toka lini katika misaada yao imeambatanishwa na masharti kwamba tusapoti pumba zao? Na liberty hapo haitakuwepo as much as ukienda kinyume chao wanakukomesha.
Hyo misaada wanayotupa,je ni for free? Si wanatoa nao wananufaika tena zaidi?
Unadhani mzungu anatusaidia just for humanity hku anapata hasara? Kama anapata basi aliache bara adeal na lake am yao mabara.
Kama ss kwao mizigo kwa kutupa tu misaada kwann wanagwaya kuongezeja kwa ushawishi wa wachina Africa? Si ashukuru atue mzigo?
Ukwl ni kwamba wao unaowaita watoa misaada wanapata zaidi ya misaada yao wanayotoa ndio maana wanakomaa hapa na wakitoka tutasuffer kwa kipindi kwa ajili ya mfumo tegemezi tupo nao ila bdae tunakaa sawa ama altenatively,watafika wengne wanaozibiwa nafasi na wao kama Wachina na hao warusi na tutaendesha maisha. So kwako ni option rahisi kwa kuwa ubongo wako unaona fedha watoazo ila huoni rasilimali tupo nazo na sikulaumu maana umefundishwa ufikiri hivyo,wanasiasa wako wanawaza hivyo na wazazi wako wamekulea hivyo,wenzio ulaya wamefundishwa rasilimali kama zetu ndio msingi wa maendeleo,mpaka pale utapobadili mtazamo wako,hutakuja kujikubali wala jiheshimu kwamba u deserve better than misaada.
Asante kwa kuwa muungwana na kulaani kilichotokea Libya ila umekua mwehu kurudi na kuungana nao wadharimu hao kisa tuu wanakupa misaada na family yako inaendelea kuishi mjini hairudi kijijin,
Unafiki haukubalikii
 
Hakuna misaada yoyote ya maana!! Hivyo vimsaada kiduchu hutumika kama chambo tu ili hatimaye uingie kwenye mikopo ya kinyonyaji yenye riba kubwa (japo wenyewe watakuambia yenye riba nafuu ) halafu iliyoambatana na masharti magumu yanayohatarisha uhuru wa nchi.
Ni vizuri tumewaonesha kuwa enzi za kujifanya kiranja wa dunia zimeshapita!!
 
Bwana VERDAD naiunga mkono Ukraine, inatakiwa ipewe sapoti na dunia nzima, ili kumshinda nduli na dikteta Putin aliyevamia ardhi yao na anataka kuichukua kimabavu.

Hayo matusi yako mengine yaache yabaki hivyo hivyo Bwana VERDAD.
 
Kama mkereketwa wa Kitendo cha nchi za Afrika Kumuunga Mkono Putin wakati wakijua uchumi wa nchi zao unategemea misaada ya USA & EU.
Kwa nchi yetu uchumi wetu hautegemei misaada ya USA na EU. Wanapotukopesha siyo hisani bali wanafanya biashara maana tunarudisha mkopo kwa riba kubwa! There is no free lunch in Europe.
 
Sadly aliyeandika huu uzi ni Mwafrika.

Afrika inapaswa kuvumbuliwa upya. Waliopo washauza akili na nafsi zao
 
Bwana VERDAD naiunga mkono Ukraine, inatakiwa ipewe sapoti na dunia nzima, ili kumshinda nduli na dikteta Putin aliyevamia ardhi yao na anataka kuichukua kimabavu.

Hayo matusi yako mengine yaache yabaki hivyo hivyo Bwana VERDAD.
🀣🀣🀣 Sawa bhana naona umeamua kuonyesha unamahaba tuu na si sababu,me naheshimu hilo, ila sijakutukana me.
Ila kwanini wamuita Putin dikteta?
 
Ukimsoma vyema huyo jamaa utagundua ametema kilio cha wazee wa flag ya upinde
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sawa bhana naona umeamua kuonyesha unamahaba tuu na si sababu,me naheshimu hilo, ila sijakutukana me.
Ila kwanini wamuita Putin dikteta?
Amevamia nchi ya Watu kimabavu, hana haki wala mamlaka ya kukalia ardhi ya Ukraine.
 
Sadly aliyeandika huu uzi ni Mwafrika.

Afrika inapaswa kuvumbuliwa upya. Waliopo washauza akili na nafsi zao
Bwana Msanii, ni kwa nini umehamua kujiita Msanii hapa Jf.
 
Ndiyo ila hukufahamu wala kujua kama niliwaita hivyo Bwana VERDAD, kwahiyo shukhru kwa Putin umejua.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Sawa mkuu,ila tu niseme, nachukia sana ukandamizaji na double standard na Putin anamchalenji mkuu wa hyo kitu (US na allies wake) so nampenda nd may he live long na wangekuwapo wengne km yy,labda now amani ingekuwepo kutokana na heshima ya US kwa wenzie
 
Waafrica wapumbavu huamini sana ktk misaada/kusaidiwa ,

Andiko refu limeandikwa na mwafrica mpumbavu anaeuishi upumbavu hata kuukubali utumwa kwa upumbavu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…