Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela.
Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo maovu hasa ugaidi.
Afrika tujue baada ya vita hii kutakuwa na vita nyingi sana Afrika.