Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Urusi ni mafundi wa kutengeneza mamluki. Kwani vita ikiisha waliokuwa wafungwa watapewa Uraia wa Urusi?Mzee Putin awezi kufanya huo ujinga
Mzee Putin hawezi kufanya huo ujinga
Huu mfano ni mzuri sana. Mtu alifungwa kwa uhalifu, halafu unakwenda kumfundisha mbinu za kivita, na vita ikiisha mkataba ni kurudishwa kwao, unadhani nini kitatokea!!. Ni kama vile harakati za uhuru katika baadhi ya nchi zilivyoanzishwa na wanajeshi waliorudi kutoka WWII
Mamluki wamekuwepo barani Afrika kwa miaka mingi tu.Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela.
Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo maovu hasa ugaidi.
Afrika tujue baada ya vita hii kutakuwa na vita nyingi sana Afrika.
Mrusi katika ujinga wake wakati prizoghin kashasema wanakuja Africa 🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Putin hawezi kufanya huo ujinga
Mkuu dalili za kipigo wapatacho kimewafanya waje na mada hiziUnazungumzia mambo ya zama za kati za mawe,
Kwani wapo wangapi? na wakirudi watafanya nini? Mbona mnaupofu sana!!
Vipi wale wanaotengenezwa mashariki ya kati na wamarekani....... Wa urusi wakija afrika watapigana sehemu wanapogongana maslahi na mmarekani..,, jamaa wanaweza kuja wakasema tutakufanyia kazi yako ila malipo tupe mgodi wa karibu hapo wanajilipaUrusi ni mafundi wa kutengeneza mamluki. Kwani vita ikiisha waliokuwa wafungwa watapewa Uraia wa Urusi?
Vita ya Urusi na Ukraine ina watu wawili tu, Putin na Zelensky lakini maefu ya watu wanakufa.Kwani wapo wangapi?
We jamaa ni kiaziWanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.