Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Hii ni tshet mpya inayotolewa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya ile ya awali kupingwa na wanachama na wadau mbalimbali.

174551648_936655327171622_687562099464253278_n.jpg

Tshet ya hapo mwanzo ilikuwa ni hii hapa

IMG-20210418-WA0001.jpg
 
Wanatakiwa waje na majibu ya maswali haya
Hizi huwa ni za nn?

Kama hawawezi kutetea mwajiri kuheshimu mikataba ya ajira.

Ikiwemo annual increment, promotion na mafao?

Bora chama kife sio kila mwaka kuleta tshwt na maneno tu.
 
Kwa hali hiyo,walimu wakiandaliwa tisheti hivyo,wanajiona wamefarijika sana?
Hakuna wafanyakazi wenye tisheti aina nyingi,kama hao,hongera yao.
 
Back
Top Bottom