Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

hii nchi ubadhirifu na ufisadi hauwezi kuisha kabisa.....hiyo ni deal la mtu kila mwaka.....chokoza usikie moto wake......na hao walimu vile wanazigombania wakipewa...utafikiria vitoto vya chekechea......anyway ni pesa zao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanazigombania, we unahisi watagombania Nini zaidi ya Tisheti!!!
 
Hizi huwa ni za nn?

Kama hawawezi kutetea mwajiri kuheshimu mikataba ya ajira.

Ikiwemo annual increment, promotion na mafao?

Bora chama kife sio kila mwaka kuleta tshwt na maneno tu.
Ni majizi tu haya... 2% ya makato inamsaidiaje mwalimu. Walishirikiana na waovu serikalini kuhakikisha chakamwata hakifanyi kazi mikoani ili waendelee kunyonya mshahara mdogo wa walimu na kujinenepesha.
 
They are not creative,why is looking easily?thus why we call they are thief in deed.
 
Back
Top Bottom