Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Ni Upigaji Huu
Kwanini Kutuletea Uzandiki Kwenye T-shirt Za Teacher
 
Siijui kabisa😀, mama yangu anaijuia vyema..ni yeye alikuwa ananiambia nisivae nguo za mistari ya hivyo inazidi kunifanya niondane mnene. Na ni kweli ipo hivyo
Niliisoma hiyo form 1, ndiyo wanafundisha hayo.Sijui km hilo soma lipo bado kwa sekondari siku hizi.
 
Wanachezea hela za walimu tu
hii nchi ubadhirifu na ufisadi hauwezi kuisha kabisa.....hiyo ni deal la mtu kila mwaka.....chokoza usikie moto wake......na hao walimu vile wanazigombania wakipewa...utafikiria vitoto vya chekechea......anyway ni pesa zao...
 
Hiyo mistari ilitakiwa kushuka chini. Itatupanua zaidi sisi vibonge. Waishushe ielekee kwa chini.
Aisee... kumbe.
Ndio, ukiwa kibonge ukavaa nguo mistari ya kutanuka unatanuka zaidi.
Ukiwa kibonge na mfupi afu uvae dera jekundu watu wanaweza kukufananisha na mtungi wa gas ya oryx
 
Hawajabadili chochote ile ya njano ndio tisheti za cwt mwaka huu.
 
Back
Top Bottom