Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

Hizi huwa ni za nn?
Kama hawawezi kutetea mwajiri kuheshimu mikataba ya ajira..
Ikiwemo annual increment, promotion na mafao?

Bora chama kife sio kila mwaka kuleta tshwt na maneno tuu
Wanachezea hela za walimu tu
 
Wanatakiwa waje na majibu ya maswali haya
Hizi huwa ni za nn?

Kama hawawezi kutetea mwajiri kuheshimu mikataba ya ajira.

Ikiwemo annual increment, promotion na mafao?

Bora chama kife sio kila mwaka kuleta tshwt na maneno tu.
 
Kwa hali hiyo,walimu wakiandaliwa tisheti hivyo,wanajiona wamefarijika sana?
Hakuna wafanyakazi wenye tisheti aina nyingi,kama hao,hongera yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…