pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #41
Kweli ipo na wala haitaisha,Kariakoo bado kuna kero ya msongamano...
Lakini hii ya malori ni too much,
Yaani haileti maana kuondoa wamachinga walio wengi na kuacha malori yanayomilikiwa na wachache,
Huu ni uonevu wa hali ya juu