Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo wa Tani 30 hizo Centar ndio zitaongeza jamu zaidi,Malori makubwa yaruhusiwe kupakia na kupakua usiku.Hilo litawezekana tu kwa kutenga maeneo ya malori makubwa nje ya nchi na canter ndio zisombe na kupeleka huko kwenye malori
Lakini kuruhusu malori kariakoo ni uharibifu naweza kusema kuzidi uhujumu uchumi wa kuharibu barabara
No, hatua lazima zichukjliwe binginevyo nachelea iko siku watu watatoana roho,Asante Mkuu kwa ustaarabu wa Bongo ulivyo mbovu hata Virikuu vitakuwa kero kubwa mno.
Vitakuwa kama nyuki kule katikati ya mji.Turudi tu zama za ujima..akili ikikaa sawa.Lifanyike unalosema
Hivyo pia inawezekana lakini kwa sasa yanaingia kariakoo saa moja na saa mbili asubuhi omagine ufinyu wa barabara na wingi wa magariMzigo wa Tani 30 hizo Centar ndio zitaongeza jamu zaidi,Malori makubwa yaruhusiwe kupakia na kupakua usiku.
Ni kweli ila ss tunasafari ndefu mno.No, hatua lazima zichukjliwe binginevyo nachelea iko siku watu watatoana roho,
Hakuna kitu kinakera kama mtu kukuzuia usipite barabarani bila sababu ya msingi ukitilia maanani njia ndio hiyo hiyo moja
Malori ni kero kubwa kwa sasa
No, malori ni kero mkuu, labda uwe hutumii barabara au maeneo ya kariakooHata watu nao ni kero, wazuiwe kuingia kariakono
Watu ndio wanunuzi wa Bidhaa japo Kariakoo,ukizuia Watu Kariakoo inakufa.Hata watu nao ni kero, wazuiwe kuingia kariakoo
Na itakufa tu, baada ya muda barabara zote mpya zilojengwa kwa gharama kubwa zitaharibika na hapo ndio umuhimu wa kutemvelea kariakoo utapoisha,Watu ndio wanunuzi wa Bidhaa japo Kariakoo,ukizuia Watu Kariakoo inakufa.
Kariakoo kama haikuuliwa na Magufuli haitakufa tena.Na itakufa tu, baada ya muda barabara zote mpya zilojengwa kwa gharama kubwa zitaharibika na hapo ndio umuhimu wa kutemvelea kariakoo utapoisha,
Ajabu barabara zote mpya zimekuwa zinazibwa na malori au magari madogo yanapaki upande wa kushoto na kulia halafu njia nyembamba katikati ndio watumiaji woooote watumie hiyo yaani ni shida kupita maelezo
Hata mini natamani ife Ili nipite kwa wepesi pale,Kariakoo kama haikuuliwa na Magufuli haitakufa tena.
Huo utakuwa ni ubinafsi,Kariakoo inaliingizia Taifa pato kubwa sana na pia kuna maelfu ya watu wanategemea Kariakoo ili familia zao ziende Choo na kusomesha.Hata mini natamani ife Ili nipite kwa wepesi pale,
Kwa kuwa sifiki kwanhu mpaka nipitie kariakoo au nizunguke njia ya mbaaali sana ambako nitapoteza nafuta mengi,
So bora ife tu hata ikibidi kurudi kwa magu poa tu
Kwa hiyo ubinafsi ninao mimi tu ninae zuiwa kupita kwa amani barabarani ila wale wanaonizuia sio wabinafsi!?Huo utakuwa ni ubinafsi,Kariakoo inaliingizia Taifa pato kubwa sana na pia kuna maelfu ya watu wanategemea Kariakoo ili familia zao ziende Choo na kusomesha.
Na ukiona sehemu yoyote yenye rabsharabsha ndio yenye pesa huwezi kuona sehemu kama Igunga kuna rabsha kwasababu hakuna Pesa.
Hatujasema kirikuu wala canter,
Ni masemi trailer na mapulling ndio tumetaja,
Yanaziba njia na kuharibuvbarabara pia
Canter, fuso na kirikuu hazina madhara
Hapana, kwanza hayana miguu,Makontena yatembee kwa miguu?