Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

Nchi nyingi maeneo kama hayo shughuli za kupakua na kupakia Mizigo hufanyika usiku ili kupunguza Buguza.
 
Hilo litawezekana tu kwa kutenga maeneo ya malori makubwa nje ya nchi na canter ndio zisombe na kupeleka huko kwenye malori
Lakini kuruhusu malori kariakoo ni uharibifu naweza kusema kuzidi uhujumu uchumi wa kuharibu barabara
Mzigo wa Tani 30 hizo Centar ndio zitaongeza jamu zaidi,Malori makubwa yaruhusiwe kupakia na kupakua usiku.
 
Asante Mkuu kwa ustaarabu wa Bongo ulivyo mbovu hata Virikuu vitakuwa kero kubwa mno.

Vitakuwa kama nyuki kule katikati ya mji.Turudi tu zama za ujima..akili ikikaa sawa.Lifanyike unalosema
No, hatua lazima zichukjliwe binginevyo nachelea iko siku watu watatoana roho,
Hakuna kitu kinakera kama mtu kukuzuia usipite barabarani bila sababu ya msingi ukitilia maanani njia ndio hiyo hiyo moja
Malori ni kero kubwa kwa sasa
 
Mzigo wa Tani 30 hizo Centar ndio zitaongeza jamu zaidi,Malori makubwa yaruhusiwe kupakia na kupakua usiku.
Hivyo pia inawezekana lakini kwa sasa yanaingia kariakoo saa moja na saa mbili asubuhi omagine ufinyu wa barabara na wingi wa magari
#malorinikerokariakoo
 
No, hatua lazima zichukjliwe binginevyo nachelea iko siku watu watatoana roho,
Hakuna kitu kinakera kama mtu kukuzuia usipite barabarani bila sababu ya msingi ukitilia maanani njia ndio hiyo hiyo moja
Malori ni kero kubwa kwa sasa
Ni kweli ila ss tunasafari ndefu mno.
 
Watu ndio wanunuzi wa Bidhaa japo Kariakoo,ukizuia Watu Kariakoo inakufa.
Na itakufa tu, baada ya muda barabara zote mpya zilojengwa kwa gharama kubwa zitaharibika na hapo ndio umuhimu wa kutemvelea kariakoo utapoisha,
Ajabu barabara zote mpya zimekuwa zinazibwa na malori au magari madogo yanapaki upande wa kushoto na kulia halafu njia nyembamba katikati ndio watumiaji woooote watumie hiyo yaani ni shida kupita maelezo
 
Kariakoo kama haikuuliwa na Magufuli haitakufa tena.
 
Lengo ni ujumbe ufike panapohusika na hatua zichukuliwe vinginevyo hakuna faida yeyote
 
Kariakoo kama haikuuliwa na Magufuli haitakufa tena.
Hata mini natamani ife Ili nipite kwa wepesi pale,
Kwa kuwa sifiki kwanhu mpaka nipitie kariakoo au nizunguke njia ya mbaaali sana ambako nitapoteza nafuta mengi,
So bora ife tu hata ikibidi kurudi kwa magu poa tu
 
Huo utakuwa ni ubinafsi,Kariakoo inaliingizia Taifa pato kubwa sana na pia kuna maelfu ya watu wanategemea Kariakoo ili familia zao ziende Choo na kusomesha.

Na ukiona sehemu yoyote yenye rabsharabsha ndio yenye pesa huwezi kuona sehemu kama Igunga kuna rabsha kwasababu hakuna Pesa.
 
K

Kwa hiyo ubinafsi ninao mimi tu ninae zuiwa kupita kwa amani barabarani ila wale wanaonizuia sio wabinafsi!?
Haya sawa tu
Ngojeeni siku kitakapowaja ndio akili ziwakae sawa
 
Kimsingi nadhani tunakubaliana malori ni tatizo kariakoo,
Nini kifanyike ndio tujadiliane ili tufikishe mapendekezo kunapohusika coz wahusika naona wamechemka
 
Makontena yatembee kwa miguu?
Hapana, kwanza hayana miguu,
Yanaweza kushushwa nje ya mji jwenye maeneo ya godown kama kurasiji au chan'gombe au tabata na mizigo ikaletwa na gari ndogo kama kirikuu au canter,
Pia yanaweza kushusha mjini kwa mida ya usiku wala hakuna shida,
Bali shida ni viofisi vinavyoziba njia ya watumiaji wengine wa barabara,
Sioni mantiki ya kuwaondoa wamachinga na kuwaacha wenye malori kariakoo huu ni uhujumu uchumi uliotukuka
 
we jamaa vp hujui msimu wa sikukuu huu watu wanashusha mali hapo tusio enda china tunaenda kulangua china ya kkoo
 
Back
Top Bottom