Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 324
- 649
LISSU AMEKIMBIA AU ANAENDELEA KUFANYA SIASA?
Na Elius Ndabila
Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wakili Tundu ANTIPAS MUGWHAI LISU baada ya kushindwa vibaya Uchaguzi alitangaza maandamano yasiyo na ukomo. Maandamano hayo alisema yataanza Jumatatu.
Watanzania kote nchini Walimgomea Lissu na genge lake kuwa hawataandamana kwa kuwa wamepata viongozi waliokuwa wanawataka. Wananchi walisistiza kuwa hawawezi kuandamana ili kumpeleka Lissu Ikulu wakati yeye hakuwasaidia kuandamana wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Wananchi walisistiza kuwa CHADEMA imekosa mvuto kwa kuwa inataka kutuletea Ushoga na kuweka rehani madini yetu.
Baada ya mgomo wa Wananchi kuwakatalia CHADEMA na ACT kuandamana Jumatano Lissu alijipeleka Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania kuomba hifadhi. Lisu anaomba asylum akisema anatishiwa maisha yake.
Wachambuzi wa mambo ya siasa wanaona haya ni maigizo ambayo Lisu anajaribu kufanya ili kuficha aibu ya alichokuwa amewaaminisha wafadhili wa kampeni zake kuwa atashinda. Lisu anafanya hivyo ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa yeye anawafuasi wengi na hivyo ni hatari kwa serikali.
Unakuweje mtu hatari au tishio kwa serikali kama tu ulitangaza maandamano watu walikata kukuunga ikiwepo familia yako? Ungekuwa mtu tishio si tungeona watu barabarani wakiandamana kukuunga? Ukweli ni kuwa Lisu hana Wafuasi na hakuna anayetishia maisha yake, labda ametamani tu akae ubalozi kujiliwaza.
Inasemekana kuwa Lissu si muda ataondoka kwenda nchini Ujerumani kuishi kwa kuwa Tanzania anatishiwa. Hivi ni vituko vya hali ya juu. Nani wa kukutishia uliyeshindwa hata kuandamanisha watu kumi barabarani? Watu wako busy na kazi.
Mapema kabla ya uchaguzi niliandika kuwa kitendo cha CHADEMA kufadhiliwa na watu wanasapoti ndoa ya jinsia moja na kitendo cha CHADEMA kuwa kitaweka rehani migodi ya madini ili kuendesha nchi basi kitendo hiki kitawanyima kura nyingi CHADEMA kwa kuwa wapiga kura wanaelewa.