severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Ndo hapo ndugu yangu,mbona kuna mengi ya kuongelea hapo kwenye haki za binaadamu cha ajabu wao wameshikilia ushoga zaidiKama haki za binaadamu zenyewe ni kukubali ushoga hatuwezi hilo waende tu.
mbona povu sana wewe subiri wakikataa tunapambana na hali zetu mutegemea cha nduguye hufa maskiniHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
bora sie chadema wataendelea kutupa misaada maana tumefanya kazi nzuri ya kuwa mawakala waoHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
ANGALIA ULIVYO MPUUZI HEBU ACHA KUPIGA LAMRI KWANI NYIE SI MMESEMA HAMTAKI MISSADA KWA SABABU MMELAZIMISHWA USHOGA SASA MNACHOLIALIA NA MLISEMA NYINYI NI DONAR KANTRI NA AKATI HADI MIKONO YA SWETA INATOLEWA KWA MSAADA WA MAREKANI MBAYA ZAIDI HADI MATANGAZO YA KUHUSU MISAADA HIYO KULE TBC BADO NI USAID THIS IS THE SO CALLED SHITHOLE KANTRY WITH SHITHOLE PEOPLEHuyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Adui yako mwombee njaa.bora sie chadema wataendelea kutupa misaada maana tumefanya kazi nzuri ya kuwa mawakala wao
I am very concerned as well, about your stupid mentality.Also, I am very concerned about gay campaigns to our society
Hivi kwanini mnajifanya kuwa na uchungu na 'matako' ya watu kwani huwa wanawashirikisha wakiwa chumbani.
Ulishawahi kuona watu wakifanya ushoga hadharani au na wewe unahusika, tutajuaje huko chumbani mwako kama huwa hufanyi ushoga.Mtawaharibu watoto wetu nyie mashoga,mtatujengea kizazi cha mashoga nyie mashoga,uzao kama yalivyo mapenzi ya Mungu hautakuwepo tena nyie mashoga na hivyo mtaenda kiunyume na amri ya uumbaji nyie mashoga.
Kama wewe una chembechembe za kishoga chukua jiti,jiingize likupe raha na sio kuwaharibu wanadamu wengine hasa watoto wetu wa kiume
Ulishawahi kuona watu wakifanya ushoga hadharani au na wewe unahusika, tutajuaje huko chumbani mwako kama huwa hufanyi ushoga.
'Kwanini Lumumba mnajifanya kuwa na uchungu na 'matako' ya watu?
Haha, EU wamekuwa na resolution 15 Lumumba mmeona moja tu la ushoga.Mnachonishangaza nyie mashoga haki za walemavu,wazee,wastaafu,watoto wanaoshi katika mazingira magumu wasio na walezi,na haki nyinginezo hamzizungumzii kabisa,nyie mnaongelea haki zenu za kupelekewa ukuni makalioni tu,nyie ni punguani wahed kabisa na mkishapelekewa sana ukuni makalioni mental disorder usipopata ukuni lazima ikujie
Haha, EU wamekuwa na resolution 15 Lumumba mmeona moja tu la ushoga.
Ndiyo maana tunahoji...
#Kwanini Lumumba mnajifanya kuwa na uchungu na 'matako' ya watu?
Mimi ni mzoefu wa JF unakotaka nije huwezi kunipata, twende hoja kwa hoja.Kwa kuwa sisi hatutaki ujinga,unafikiri babako angekuwa SHOGA we ungekuwepo???
Ndoto yako itatimia lini? Ha ha ha....wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia....
Wewe unaishi China.Ndoto yako itatimia lini? Ha ha ha.
Mimi ni mzoefu wa JF unakotaka nije huwezi kunipata, twende hoja kwa hoja.
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU - JamiiForums
Mbona unajibu kama lofa?Wewe unaishi China.
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU - JamiiForumsSasa hapo una hoja au viroja,unajiona una hoja nyuma ya keyboard kwa jambo ambalo huwezi hata kuliongea mbele ya ndugu zako,semeni i nyie ukuni umevuruga akili zenu
Good bye.Mbona unajibu kama lofa?