Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.
Mmekosa sera nyinyi sasa mnandandia tu kila taarifa hata kama ni fake news. Naona sasa dawa imeshawaingia tunategemea hadi 2020 mtakuwa mmepona ugonjwa wenu!
 
Mmekosa sera nyinyi sasa mnandandia tu kila taarifa hata kama ni fake news. Naona sasa dawa imeshawaingia tunategemea hadi 2020 mtakuwa mmepona ugonjwa wenu!
Wewe unadhani pesa zinatoka kiholela kuna makubaliano ambayo yamefikiwa ikiwa ni lazima elimu itolewe kwa wote boys and girls bila kubagua kazaa au hajazaa, think bigger.
 
WB wamekuja leo mbona hujaandika walichoongea na Mkulu, shuain zenu nyie mnaosherehekea kuckia nchi hii inapata tabu
Kumbe unajua tukinyimwa misaada na wazungu tutapata shida, sasa mlivyokuwa mnasema hamtaki misaada ya mashoga mlikuwa mnabeep.
 
Uzuri,Mungu Huwa atazami,definition za Ulimwengu huu....
Sasa ninyi mnapopambana kupanda mabaya,wakati huohuo Mungu uhinua watu kupanda mema.
Hasa pale sababu zinapomgusa moja kwa moja.
Watu wanajadili fact we unaleta hekaya. Unadhani wao EU na Marekani hawana Mungu? Je hiyo imani yako imesaidia VP nchi yako kutoka katika kundi la LDC? Au ndo akili mlotunzisha kwa akina Gwajima na Mzee wa upako!!!!
 
Mkuu hongera sana kwakuleta hii mada kwenye jamvi ila nafikiri haupo sahihi unaposema kwamba misaada na mikopo toka nchi za nje ni 40% ya bajeti. Bajeti ya 2017/2018 mikopo na misaada toka nje ilikuwa ni Tshs 3,971.10 billion (13%) ya bajeti nzima Tshs 31,712 billion. Ndani ya hii 13% kuna wastani wa 11% kutoka mataifa ya ulaya na 2% kutoka nchi nyingine za bara la Asia.

Pia kuna sehemu umesema kwamba "Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion kwa mwaka", nadhani hii ni asilimia ndogo sana kama 0.01% ya bajeti nzima ambayo haikupaswa kuzungumziwa kwenye mada maana kukosekana kwake hakutaleta mtikisiko wowote mkubwa.

Asanteni sana.

Bajeti 2017/2018 http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/BUDGET SPEECH 2017_2018.pdf
Ufafanuzi mzuri sana.
Umemziba mdomo mleta mada anae ropoka vitu kabla ya utafiti kupata taarifa sahihi.
 
Acha uongo ulikuwepo kwenye kikao au?
Hata kwenye kikao cha Mkiti wa barrick Thornton na Magufuli sikuwepo, ila rais alipotoka na kusema Acacia wamekubali kutulipa na kwa kuanzia eti watalipa kwanza kishika uchumba cha $300m nilijua hapa tunalishwa matango pori.

The same applies to yesterday's statement, tutajua tu makubaliano yaliyofikiwa ikiwa ni pamoja na mpango wa kuwasaidia watakaopata mimba wakiwa shuleni, WB sio wajinga watoe pesa yao bila mpango wowote, keep on following me.
 
Mkuu hongera sana kwakuleta hii mada kwenye jamvi ila nafikiri haupo sahihi unaposema kwamba misaada na mikopo toka nchi za nje ni 40% ya bajeti. Bajeti ya 2017/2018 mikopo na misaada toka nje ilikuwa ni Tshs 3,971.10 billion (13%) ya bajeti nzima Tshs 31,712 billion. Ndani ya hii 13% kuna wastani wa 11% kutoka mataifa ya ulaya na 2% kutoka nchi nyingine za bara la Asia.

Pia kuna sehemu umesema kwamba "Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion kwa mwaka", nadhani hii ni asilimia ndogo sana kama 0.01% ya bajeti nzima ambayo haikupaswa kuzungumziwa kwenye mada maana kukosekana kwake hakutaleta mtikisiko wowote mkubwa.

Asanteni sana.

Bajeti 2017/2018 http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/BUDGET SPEECH 2017_2018.pdf
Mkuu asante kwa mchango wako, uchambuzi wa bajeti una utaalamu wake sisi huwa tunachukua summary tu. Mchango wa bajeti huwa siyo lazima uwe cash unaweza kutolewa kwa grants, projects, misaada nk.

Ukisoma bandiko langu nimesema wahisani wanachangia almost 40% NA wana program nyingine nje ya bajeti ambayo huchangia $2.5m kwa mwaka. Hii ni quote ya speech ya Mpango ya bajeti 2017/18, angalia pia jedwari.

BUDGET STRUCTURE FOR 2017/18
Honourable Speaker, consistent with
2017/18 macroeconomic targets and fiscal
policy objectives, the Government plans to
mobilize and spend shillings 31,712.0 billion.

Domestic revenue, including LGAs own
sources, is estimated at shillings 19,977.0
billion, which is 63 percent of the total
resource envelope.

IMG_20181117_112557.jpg
 
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.

Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.

Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.

Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.

Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Kama haki za binadamu ni kukubalisha laana ya ushoga ,nitakuwa wa mwisho ku-LIKE
 
Wametoa au wameahidi, halafu huwezi kujua walichokubaliana, hata za makinikia waliahidi hivyo hivyo je wameshatoa ngapi?

Nikunukuu, Wametoa au wameahidi ni lugha yako mpya hiyo, du! Nia yako ni Serikali ya CCM isifanikiwe na siyo kwamba nchi iweze kupata maendeleo! Uzalendo gani huo?

Nyie ndiye hao mko tayari kuhamasisha maandamano ili tu fulani aingie madarakani kwa gharama ya kumwaga damu za wasio na hatia wakati ninyi na familia zenu mmejificha mkila bata! USALITI HUO.

MNATIA AIBU NA NAAMINI ROHO ZENU ZINAWASUTA.
 
Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.
Unajua kila senti inayoingia kwenye mfuko wa Hazina? Twambie ziko ngapi sasa hivi.

Wacha kurukia mambo usiyoyajua, unaonesha kiwango chako cha kutokujitambua. Watu kama wewe kamwe hamtapata nafasi ya kuongoza nchi hii. Na inawezekana hata familia zenu zinawashinda kutunza. ROHO MBAYA ZENU TU MNAWAONESHA WATANZANIA.
 
Back
Top Bottom