Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee tu kutekana, kupingana risasi peupe, kuzuia freedom of speech au kwako ushoga ndilo la muhimu sana kuliko utawala wa sheria.
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Kama wanachangia 40% ya bajeti na huku bajeti yenyewe ikitekelezwa kwa 40% hiyo hiyo ni nini kinafuata nchi hii ?
Enzi za kubandika viraka kwenye makalio imerudi !
Bashite katufungia bao ukawa, bado moja tunasawazisha.
Shame on all ya'all MOFOs.Punde kidogo tutanza kuvaa nailo na viatu vya araiyoo, majunia kama 1970s and 80s!!!!!!
Hawa Vibaraka na wazandiki ni watu hatari sana katika Taifa letu mkuu. Nchi nyingine watu wa aina hii mshahara wao ni mauti.View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Subiri kwanza kabla hamjabadilisha lugha .Shame on all ya'all MOFOs.
Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia - JamiiForums
unasifa zote za kuchukua cheo cha bashite
Quinine, baada ya WB leo kutoa hiyo fedha uliyodai wamezuia una kauli gani?Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Wewe umeziona hizo hela zikiingia?Shame on all ya'all MOFOs.
Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia - JamiiForums
Kajificha. Leo ni kilio cha msiba pale ufipa.Quinine, baada ya WB leo kutoa hiyo fedha uliyodai wamezuia una kauli gani?
Once they go, njia itapatikanaHuwezi kuendelea in isolation. Na pia CCM wangeweka sera ya exit kutoka kwenye ombaomba mapema tungewaelewa, lakini wao mpaka kwenye budget wanaweka kiasi cha kuomba kwa donors
Wametoa au wameahidi, halafu huwezi kujua walichokubaliana, hata za makinikia waliahidi hivyo hivyo je wameshatoa ngapi?Quinine, baada ya WB leo kutoa hiyo fedha uliyodai wamezuia una kauli gani?
Mkuu unajisikiaje baada ya WB kukuumbua na news fake zako?Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Ndipo utakapojua ana ndg alikuwaga jipu,leo wameumbuka [emoji23][emoji23]Mkuu unajisikiaje baada ya WB kukuumbua na news fake zako?
Mtanyooka tu na vitaarifa vyenu fake! Leo WB imewaumbua hata EU itawaumbua tu!Subiri kwanza kabla hamjabadilisha lugha .
Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.Mkuu unajisikiaje baada ya WB kukuumbua na news fake zako?