Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze tabia za kipunga
Yaani Ommy bora asingejibu..watu wameachana na habari za kununua views sasa wanadeal na us.h.g wa Ommy[emoji38][emoji38]Nimeona narudia mara sijui ngapi, ati Diamond anaongelea nini!!!?? Sitaki kufikiria kuwa Ommy ni nanihiiii OMG au?
Afu mbona kiba huwa hamjibu au hua anamuogopaYaani Ommy bora asingejibu..watu wameachana na habari za kununua views sasa wanadeal na us.h.g wa Ommy[emoji38][emoji38]
Kiba analalamika kwenye interview tu [emoji38][emoji38]Afu mbona kiba huwa hamjibu au hua anamuogopa