Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Wamezoea kutafuta kiki kupitia Diamond, bora amejibu kwa kweli. Ila kwa jibu alilotoa, lazima mtu anakosa usingizi leo. Diamond anajua mengi yanayoendelea akisema na wengine sisi tunaamini 150%.

Iwe fundisho kwa wengine kuacha kutumia jina lake ili wapate viewers na kutafuta kuuza, omi unalo kumbe teh teh teeeeeeeh
 
Ndio yeye Mkuu yule mwarabu anamla ommy kama mke wa ndoa ana anamgaramikia kila kitu
Mungu uliye hai[emoji15][emoji15][emoji15]!!ndio maana kumbe akamfukuza Mubenga ndani kwake kisa bwana?!

Nasikia anakaa pekeyake kwenye huo mjumba,hata msaidizi wa kazi hana[emoji22]!!
Kumbe ni kwa hisani ya mwarabu?![emoji15]..mwe!mwe!mwe!
 
Ndio ana kaa peke yake, Yan leo d ndo kaongea ukweli mtupu, mwarabu ndo aliyemfanya awe na jeur kwa mubenda
 
sina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,

Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
 
Acha umbea unajua nyumba ya south anamiliki nan?
 
Kwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kweli ommy anaopumuliwa kisogoni ila kwenye ugomvi wa kiume ukitaka u win kirahisi mwambie tu unapumuliwa kisogoni kwa sababu kwa mwanaume rijali lazma roho ikuume mana umeshushiwa hadhi yako, so diamond kaamua kumpausha kimtndo asa ukzngatia hasira
 
Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
 
Na wewe naye ndio unataka yeye aambiwe hafanyi kazi na bidii yake inayoonekana kwa kununua viewers na akae kimya? Sababu yeye kazi yake haitadharaulika au?

Ni vizuri kamjibu na akome, na sio tusi ni uamuzi wa maisha yake huuo ommy kuwa MEKE.
 
Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Mkuu,aliyeanza kupost ni Diamond..Ommy ndiye aliyejiingiza chaka akaanza kutoa povu
 
Back
Top Bottom