cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Wamezoea kutafuta kiki kupitia Diamond, bora amejibu kwa kweli. Ila kwa jibu alilotoa, lazima mtu anakosa usingizi leo. Diamond anajua mengi yanayoendelea akisema na wengine sisi tunaamini 150%.
Iwe fundisho kwa wengine kuacha kutumia jina lake ili wapate viewers na kutafuta kuuza, omi unalo kumbe teh teh teeeeeeeh
Iwe fundisho kwa wengine kuacha kutumia jina lake ili wapate viewers na kutafuta kuuza, omi unalo kumbe teh teh teeeeeeeh