Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Huu ubuyu wa kipopoma sana
 
Usinambie[emoji15][emoji15][emoji15]??!itakuwa ndiye aliyempelekaga Ibiza kipindi kile kuponda maraha!!maskini Ommy[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ibiza patam mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
huwez kuelewaa mkuu ila niliyo yasma ni kuwa oomy anaimbaa tu ila mond anacheza na kuimba
Mkuu sasa nimekuelewa.
Kwa vile muda bado upo, tutakuja kujua hata kama baadae baada ya miaka mi3 sababu hakuna siri dunia hii.
 
Acha umbea unajua nyumba ya south anamiliki nan?
Mkuu huwezi kumiliki Nyumba south Africa kama Huna uraia wa south Africa...kama Zari ana uraia basi nyumba ni ya Zari au kama Tiffah ana uraia basi nyumba ina jina la Tiffah ila haiwezi kuwa na jina la Naseeb kama unabisha mwambieni aweke Hati ya nyumba.
 
jibu mulua, nakumbuka make me sing ilivunja record ya SA south. na ilikuwa kwenye YouTube account ya AKA. sijui domo alimnunulia na AKA.
 
Naona na wewe una shida katika UPUMUAJI..
Diamond anahitajika ili akupe oxygen


Napata ukakasi kama hauna uDimpozi ndani yako!sio kwa shobo hizo za kikokoro kwa wanaume wenzio[emoji30][emoji30]..

Nenda WCB pale mzee wagawa oxygen wamejaa kibao
Punguza jazba.
Umepanic nini sasa?
 
U got a point,ngoma ikiwambwa sana mwisho wake hupasuka tu,kwa level ya Diamond kuwa na msururu wa wafanyakazi vile ni ulimbukeni tu hajafikia hizo level
Kuna siku wafanyakaz wake walikuambia hawajalipwa mshahara? Ulitaka aajiri watu 2 wakata anauwezo wa kutoa ajira kwa watu kumi?...una mawazo ya kimasikini sana ndugu ila sikulaumu ndio waafrika tulivyo.
 
Hamna kitu kizuri kama kukaa kimya, diamond platnumz ajitahidi kukaa kimya, yy ni msanii mzito na mkubwa Africa hilo halina ubishi, wanaobisha haters. Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la saba kipindi hiko mkifaulu hamzidi ishirini shule nzima Kuna watu walisema nimebahaitisha, nimefaulu kisa mama yangu mwalimu na Kuna wengine wakanitisha kuhusu kitabu cha O level, sikubishana nao, form 4 nifaulu bado wakawa wananitisha na kuniponda (si unajua uswahilini) form six nikapiga kijiti cha tisa PCM, mtaa mzima wote kimya mwisho wa siku wote wakajanipa mikono na kunipongeza, kwa hiyo braza hamna kitu kizuri kama kukaa kimya, siku zote ukijijua unafanya nn na unataka nn huwezi potea na hutojisumbua kubishana na wapumbavu wanaweza kukupotezea timing ya mipango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…